Dodoma FM

Jamii yatakiwa kuchukua mikopo kwa malengo

11 April 2023, 1:34 pm

Afisa mikopo kutoka Tanzania Commercial Bank.Picha Leonard Mwacha.

Wananchi wengi wamekuwa wakijiingiza kwenye mikopo ambayo baadae huwa changamoto kwao.

Na Leonard Mwacha.

Jamii imepaswa kuepuka mikopo ambayo hugeuka kuwa changamoto kwao badala yake wafuate utaratibu wa kifedha ili kuweza kukopa kwa malengo.