Radio Tadio

Mawasiliano

15 May 2023, 7:34 pm

Waandishi wa Habari Katavi, Kazi Iendelee

KATAVI Waandishi wa Habari Mkoa wa Katavi wameaswa kuendelea kuhabarisha mambo yanayofanywa na serikali katika sekta Mbalimbali ili wananchi wafahamu namna serikali inanyo sogeza huduma hizo kwa Wananchi. Deodatus Kangu Afisa utumishi wa Manispaa ya Mpanda aliye Mwakilisha Msitahiki meya…

8 March 2023, 11:19 am

TASAC labainisha kutekeleza miongozo inayotolewa na serikali

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limebainisha kuwa linatekeleza miongozo inayotolewa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA). Na Mindi Joseph. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limebainisha kuwa inatekeleza miongozo inayotolewa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) katika…

11 November 2022, 5:24 am

Kauli ya Nape malalamiko ya kupunjwa ‘bando’

Waziri wa Mawasiliano Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape amesema wizara yake imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kuwaita watoa huduma baada ya kutokea sintofahamu ya bei ya vifurushi. Spika Dk Tulia Ackson amemtaka Waziri huyo kufafanua uwepo wa utata…

27 October 2022, 10:35 am

Wakazi wa Gulwe wakosa mawasiliano ya simu

Na; Victor Chigwada. Changamoto ya mawasiliano katika Kijiji Cha Gulwe imeendelea kuwaathiri wananchi kutokana na uhaba wa minara ya mitandao ya simu. Wananchi hao wa Gurwe wamesema kuwa wamekuwa wakipata wakati mgumu wanapo hitaji kufanya mawasiliano kwa njia ya simu…

25 October 2022, 4:02 pm

Mikoa Mitano Yaongoza Kuwa Na Laini Za Simu Zinazotumika

Ripoti ya Utendaji wa Kisekta imeonesha ongezeko la asilimia 3.4 kwa laini za simu zinazotumika, ambapo hadi mwezi Juni 2022 kulikuwa na laini Milioni 56.2 idadi iliyoongezeka hadi kufikia laini milioni 58.1 Septemba 2022. Takwimu zinaonyesha kwamba mikoa mitano nchini…