Offline
Play internet radio

Recent posts

30 October 2026, 2:46 pm

Watoto wa ‘linda mume wako’ wazazi wafunguka Arusha

Na Fedrick Mbaruku Baadhi ya akina mama mkoani Arusha wamesema matumizi ya simu na mitandao ya kijamii ni miongoni mwa changamoto zinazoathiri malezi ya watoto katika jamii ya sasa Wzazi hao wanakiri kuwa kuna kazi ya ziada ya kufanywa na…

22 October 2026, 6:08 pm

Mfungwa wa nje afariki akihusishwa na mauaji ya Bodaboda

“Na mtuhumiwa Dickson Livingstone au Ndesaa likuwa bado anaendela kutumikia kifungo cha nje” Na Joel Headman Watuhumiwa wawili wa matukio ya uporaji na unyang’anyi wa kutumia silaha mkoani Arusha wamefariki wakati wakipatiwa matibabu baada ya makabiliano na Jeshi la Polisi…

19 October 2026, 12:26 pm

Kocha mkuu Tusker FC aapa kufa na Singida

“Wamefunga bao la aina yake, bao ambalo unaweza kusema limetoka sayari nyingine! Lakini mchezaji wao amewafundisha somo washambuliaji wangu. Hata kama nafasi ya kufunga si nzuri sana, angalau….” Joel Headman Nairobi Ushindi wa bao 1-0 walioupata Singida Black Stars ya…

19 October 2026, 9:57 am

Kusitishwa matumizi ya vocha Arusha waomba elimu

Fedrick Mbaruku na Furahini Sella Baada ya Serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuja na uamuzi wa kusitisha matumizi ya vocha za kukwangua wakazi Mkoani Arusha, wametoa maoni na mitazamo yao juu ya uamuzi huo Miongoni mwa wananchi hao…

9 October 2026, 9:19 am

Picha nzima mauaji ya Rebecca wa BnB

“ila tulimkuta amelala, labda kama walifanya laikini sio hapa na sijui kama ni hapa au ni wapi ni kama vile walimvunja shingo maana ime….” Na Joel Headman Baada ya mauaji ya muhudumu katika nyumba ya wageni (BnB) mkoni Arusha hatimaye…

9 October 2026, 7:17 am

Kupanda kwa mafuta ni kilio Arusha

Na Furahini Sella Madereva wa bajaji, Hiace na bodaboda jijini Arusha wamelalamikia kupanda kwa bei ya mafuta, wakisema hali hiyo imeongeza gharama za uendeshaji na kuwaweka katika wakati mgumu huku wakishindwa kuongeza nauli kwa kiwango kinachoendana na ongezeko la gharama…

8 October 2026, 11:18 am

Unamtafuta kamanda wa polisi Arusha? Anakuja

Na Joel Headman Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limezindua rasmi kampeni ya “Ongea na Kamanda wa Polisi” katika Shule ya Sekondari Mringa iliyopo wilaya ya Arumeru mkoani hapa, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kutatua kero za kiusalama na…

7 October 2026, 11:08 pm

Makonda awapiga ‘stop’ mgambo Arusha

Na Fedrick Mbaruku Mbunge wa Arusha Mjini na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ametoa kauli kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Kilombero jijini Arusha, wanaodai kunyanyaswa na migambo wakati wakifanya shughuli zao za biashara. Makonda…

7 October 2026, 10:30 pm

Mtoto kwanza mengine baadaye

Na Fedrick Mbaruk Wananchi mkoani Arusha wamewaomba viongozi wa serikali za mitaa kuongeza elimu kwa jamii kuhusu namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto. Miongoni mwa vitendo vilivyotajwa kukithiri kwa wazazi hao ni Pamoja na ubakaji na…

7 October 2026, 10:02 pm

Polisi: Kila mtu ni mlinzi

Na Furahini Sella Jeshi la Polisi nchini limewakumbusha wananchi kutobaki nyuma kwenye jukumu la ulinzi wa raia na mali zao kwani ni wajibu wa kila mmoja kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Kauli hiyo imetolewa mapema leo na mrakibu mwandamizi…

ABOUT US.

ORGANIZATION.

Triple A Fm is a private owned and a business oriented Radio Station Registered under the Act which formed TCRA.The Radio Station is part of other organizations which are under the umbrella of The Blue Triple A Limited registered under the Companies Ordinance (Cap 212 of the Laws of Tanzania) in 2002.The Radio Station officiated on air in 2004 under a District License to cover only one Regional of Arusha.The Owner is Mr. Papaking Sambeke Mollel and his Family.

Since 2004 Triple A Fm Radio Station works on providing contents based on youth empowerment ,and deals specifically with contents based on entertainment, sports, entrepreneurship and health   .the company own only one frequency which is 88.5.

THE MISSION

As per the functions of Triple A Fm Radio Station ,the mission statement summarizes the Station  roles,which is “To be an effective Radio Station that offering Needed and Quality Contents with time assurance”

THE VISION

“To be the most listened Radio Station in Arusha”

THE CORE VALUES

  • Professionalism
  • Quality
  • Integrity
  • Innovation
  • A drive for customer satisfaction.