Triple A FM

Nafasi ya mwanamke katika kutokomeza ukatili wa kijinsia-Kipindi

13 December 2023, 12:37 pm

Mariam Juma muandaaji na mtangazji wa kipindi cha Nuru ya Mwanamke Triple A FM. Picha na Sunday Douglas
Wanawake wa Arusha wamekua mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia.katika kipindi hiki wakazi wa Arusha wanaelezea njia za kutokomeza ukatili wa kijinsia kwenye jamii.

Na Mariam Juma