On air
Play internet radio

Recent posts

6 February 2026, 8:06 am

Yametimia, Arusha mjipange

Na Joel Headman Kama tulivyokueleza juzi kuhusu fununu za timu ya mpira wa miguu ya Fountain Gate ya Manyara kuhamia mkoani Arusha sasa yametimia Utakumbuka kuwa Triple A fm ndio chombo cha kwanza cha habari kilichofichua mpango huo kabla ya…

4 February 2026, 7:36 pm

Fountain Gate Kuhamia Arusha?

“Timu kwakweli iendelee kubaki kwa sababu ni timu ambayo tulishaizoea kwamba inatupa burudani ya kimpira” Baada ya mchezo wa leo kati ya Fountain Gate na Namungo kumalizika kwa sare ya 1-1 mashabiki wa mpira wa miguu mkoani Manyara ni kama…

3 February 2026, 4:41 pm

Bima ya afya kwa wote kuondoa ubaguzi

Na Joel Headman Serikali imekusudia kupunguza adha zinatotokana na matumizi ya bima ya afya kwenye hospitali mbalimbali ikiwemo kuondoa ubaguzi wa huduma kwa wagonjwa Adhma hiyo imetangazwa na Waziri wa afya Mohamed Mchengerwa katika kikao kazi na wahariri wa vyombo…

21 January 2026, 11:13 am

Mbowe: CHADEMA kilikuwa na sera bora

Na Joel Headman Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ameeleza namna ambavyo chama hiko kilikuwa imara kutokana na namna kilivyojengwa Akizungumza Tengeru mkoani Arusha kwenye msiba wa mwasisi wa chama hicho Edwin Mtei, Mbowe…

13 January 2026, 10:59 am

Kwa Mrombo kupata soko la kisasa

Na Joel Headman Wananchi wa kwa Mrombo jiji la Arusha wanatarajia kunufaika na ujenzi wa soko jipya la kwa Morombo ambalo tayari ujenzi wake umeanza. Wafanyabiashara hao wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 500 waliokuwa wakifanya biashara eneo hilo awali hawakuwa na…

28 October 2025, 10:55 am

Arusha ipo tayari

“nimekutana na Kamati zote za usalama wilaya ndani ya Mkoa na tumejiridhisha kuwa kampeni zimeenda salama kwa amani na utulivu katika Majimbo yote na hali ya usalama katika Wilaya zote ni shwari.” Na Furahini Jonas Mkuu wa mkoa wa Arusha…

21 October 2025, 2:46 pm

Uzushi na Uongo hauna nafasi Arusha

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha limewataka wananchi kujiepusha kusambaza taarifa za uzushi na uongo hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wan chi uliopangwa kufanyika Oktyoba 29 mwaka huu Kauli hiyo imetolewa na Kamishna msaidizi wa polisi Salvas…

17 October 2025, 7:46 pm

Fountain Gate waanza na Mungu

Na Joel Headman Ndivyo unavyoweza kusema baada ya ushindi wa bao 1 la dakika za jioni walilolipata Fountain Gate dhidi ya Dodoma jiji jioni ya leo Mchezo huo wa ligi kuu uliopigwa kwenye dimba la Tanzanite Kwaraa umeshuhudia kandanda safi…

17 October 2025, 2:02 pm

Mbinu kumlinda mtoto mtandaoni

Na Jackson Mbwambo Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imewataka wazazi na walimu nchini kuacha tabia ya kutoa uhuru mkubwa kwa watoto kutumia mitandao ya kijamii bila uangalizi, ikionya kuwa hali hiyo imekuwa chanzo cha kuongezeka kwa vitendo vinavyohatarisha…

15 October 2025, 10:53 am

Makala ya Uchaguzi 2025: Rushwa siyo fursa

Na Joel Headman Tanzania kama ilivyo kwa nchi zenye mifumo ya kidemokrasia inajiandaa kwa uchaguzi mkuu tarehe 29 Oktoba 2025, unaolenga kupata madiwani,wabunge na rais, viongozi watakaoongoza kwa miaka mitano ijayo. Lakini je unafahamu nini basi kuhusu Rushwa kwenye uchaguzi?

ABOUT US.

ORGANIZATION.

Triple A Fm is a private owned and a business oriented Radio Station Registered under the Act which formed TCRA.The Radio Station is part of other organizations which are under the umbrella of The Blue Triple A Limited registered under the Companies Ordinance (Cap 212 of the Laws of Tanzania) in 2002.The Radio Station officiated on air in 2004 under a District License to cover only one Regional of Arusha.The Owner is Mr. Papaking Sambeke Mollel and his Family.

Since 2004 Triple A Fm Radio Station works on providing contents based on youth empowerment ,and deals specifically with contents based on entertainment, sports, entrepreneurship and health   .the company own only one frequency which is 88.5.

THE MISSION

As per the functions of Triple A Fm Radio Station ,the mission statement summarizes the Station  roles,which is “To be an effective Radio Station that offering Needed and Quality Contents with time assurance”

THE VISION

“To be the most listened Radio Station in Arusha”

THE CORE VALUES

  • Professionalism
  • Quality
  • Integrity
  • Innovation
  • A drive for customer satisfaction.