Triple A FM

Simulizi ya aliyeolewa akiwa na umri mdogo

9 September 2025, 11:47 am

Picha kwa msaada wa akili unde (AI)

Nilienda kwa ndugu zangu, majirani wao wakaona ni kitu cha kawaida sana….yaani naumia, naumia nikikaa ndani ndio hivyo naliaa najiona kabisa maisha yangu yamefika mwisho, ndoto yangu ilikuwa niwe daktari”