Radio Tadio

watoto

5 September 2026, 14:28

TAKUKURU yakabidhi mashine kwa ajili ya watoto njiti Kigoma

Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni imepokea mashine kwa ajili ya watoto njiti kutoka taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imekabidhi mashine mbili maalum kwa ajili ya kusaidia utoaji…

22 August 2026, 11:17 pm

Mamia ya watu washiriki Manyara Tanzanite marathon

Mbio za Hisani za Manyara Tanzanite Marathon zimefanyika leo mkoani Manyara, zikihudhuriwa na watu mbalimbali kutoka maeneo tofauti ya nchi pamoja na viongozi mbalimbali, huku lengo kuu likiwa ni kuchangisha fedha kwa ajili ya kuokoa maisha ya watoto wachanga na…

28 May 2026, 2:17 pm

Ni marufuku malori kubeba wanafunzi

Wakati mwingine magari hayo hutumika kubeba wanafunzi kwenda kwenye michezo na matamasha mbalimbali jambo ambalo ni kinyume cha sheria za usalama barabarani. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa ni marufuku magari ya mizigo ikiwemo malori kutumika kubeba abiria kutokana na hatari…

25 May 2026, 5:08 pm

Mbio za hisani kuokoa maisha ya watoto wachanga

Mkoa wa Manyara unatarajia kufanya mbio za hisani za kuchangia uboreshaji wa huduma za watoto wachanga na watoto njiti  zijulikanazo kama Manyara Tanzanite Marathon zenye kauli mbiu ya “hatua moja, okoa maisha ya mtoto” zinazotarajiwa kufanyika Agosti 22, 2026 katika…

16 October 2025, 8:48 am

EAGT Nazareth Stamico kuanzisha miradi ya afya na elimu

Ujenzi wa hospitali hiyo ni hatua muhimu katika kupanua wigo wa huduma zinazotolewa na kanisa hilo mjini Katoro. Na Mrisho Sadick: Kanisa la EAGT Nazareth Stamico lililopo katika mji wa Katoro wilayani Geita limepanga kuanzisha ujenzi wa Hospitali ya kisasa…

19 January 2024, 1:29 pm

Waliomteka mtoto na kudai milioni 4 watiwa mbaroni Mbogwe

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limejipanga kukabiliana na matukio ya ukatili kwa watoto ikiwemo ya kubakwa na kuuawa. Na Mrisho Shabani – Geita Jeshi la polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu watatu wilayani Mbogwe kwa tuhuma za kumteka mtoto…