Triple A FM

Makala: Kwanini hospitali ya jiji la Arusha haijakamilika?

8 December 2023, 11:42 am

Mafundi wakiendelea na ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje Hospitali ya jiji la Arusha

Kwa mujibu wa ripoti ya ukaguzi wa ofisi ya Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG jengo hilo lilitengewa shilingi Bilioni 3.9

Na Joel Headman

Msikilizaji ukisoma muundo wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa wa Miaka Mitano unaunganisha maeneo ya kipaumbele na dhima ndogo kwa kuweka mkazo katika kuboresha upatikanaji wa huduma za afya ili kuwezesha maendeleo jumuishi ya kufikia Dira ya taifa ya maendeleo 2025.

Katika ufuatiliaji wa utekelezwaji wa lengo hilo redio Triple A tumefuatilia mradi huo wa hospitali ya jiji kufahamu nini kimesababisha ukwame.

kusikiliza makala hii bonyeza hapa