Triple A FM

Ukiripoti Rushwa unalindwa

2 October 2026, 8:09 am

Ndg. Safiel Wilson Mshana

Na Fedrick Mbaruku

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Arusha imewataka wananchi kutoa taarifa za vitendo vya rushwa wanavyovishuhudia katika maeneo mbalimbali bila kuwa na hofu ya kufichuliwa.

Wito huo umetolewa leo Oktoba 1, 2026 na afisa uchunguzi,mwanasheria na mwendesha mashtaka wa (TAKUKURU) Arusha Safiel Wilson Mshana kupitia kipindi cha Jambo Tanzana cha Triple A Fm 88.5.

Ndg. Safiel Wilson Mshana

Amefanua kuwa wananchi wanahitaji kuripotoi taarifa za Rushwa bila woga

Ndg. Safiel Wilson Mshana

Mshana amewasisitiza wananchi kuwa na siri katika taarifa wanazozitoa ili kurahisisha na kutokuharibu uchunguzi wa vitendo vya rushwa

Ndg. Safiel Wilson Mshana