Mawasiliano
26 September 2025, 9:07 am
EFAD yagusa maisha ya watoto Songwe
Kupunguza utoro shuleni na kuongeza utulivu wa watoto shuleni Na Devi Mgale Shirika lisilokuwa la kiserikali la Elisha Youth Support Foundation (EFAD) lililopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe limetoa kilo 420 za Mahindi kwa watoto wanaoishi mazingira magumu katika…
18 July 2025, 11:50 am
Madereva, makondakta Katavi wapewa onyo
Baadhi ya madereva na makondakta wa stendi ya zamani. Picha na Leah Kamala “Ni marufuku kufungua mlango gari likiwa linatembea” Na Leah Kamala Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa malalamiko yao kuhusiana na tabia ya makondakta…
13 June 2025, 5:12 pm
Zingatieni sheria na miongozo ya uchimbaji-DC Mpanda
“Changamoto zilizopo ni kutokutekelezwa kwa sheria ya usalama mahala pa kazi” Na Anna Mhina Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewataka wachimbaji wa madini kuzingatia sheria na miongozo ya uchimbaji ili kutosababisha madhara yanayoweza kuepukika. Jamila ameyasema hayo kwenye…
8 May 2025, 13:56
Kilio kisichosikika utelekezaji watoto Kigoma
Kwa mujibu wa Takwimu za Ofisi ya Ustawi wa Jamii, kati ya mwezi March hadi April mwaka 2025 pekee kuna zaidi ya watoto 150 walitelekezwa katika Wilaya ya Kigoma. Hii leo wengi wa watoto hawa wanaishi mtaani, hawawajui wazazi wao…
30 April 2025, 09:08
Dc Maswa Dkt Anney toa Maagizo mazito kwa Wakandarasi wa Miradi ya …
Niwaagize wakandarasi wanaotekeleza Miradi ya Maji katika Wilaya hii waongeze Kasi ili Wananchi wapate huduma ya Maji kama Serikali ilivyokusudia kusogeza huduma karibu na Wananchi Pia nitoe Onyo kwa Wananchi wanaoharibu Miundombinu ya Maji waache mara moja kwani tutawakamata na…
18 December 2024, 7:09 pm
Zimamoto Mara watoa tahadhari kuelekea sikukuu
Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Mara limewataka wananchi wote kuchukua tahadhari za usalama kuelekea sikukuu za kufunga mwaka 2024. Na Adelinus Banenwa Akizungumza kupitia kipindi cha Duru za habari ndani ya studio za radio Mazingira Fm Mrakibu wa…
10 October 2024, 5:11 pm
Zaidi ya wananchi 350 Manyara wapatiwa huduma ya macho
Mganga mfawidhi wa hospital ya halmashauri ya mji wa Babati(Mrara) Dr Gillian Francis Lupembe amesema Idadi ya wagonjwa waliokwenda kupata huduma ya matibabu ya macho imekuwa kubwa kutokana na watu wengi wanachangamoto ya uoni. Na Marino Kawishe Zaidi ya wananchi…
6 October 2024, 5:21 pm
Moses akutwa na baiskeli aliyoiba kanisani Sengerema
Jamii imekua haiwaamini vijana kutokana na kuwa na tamaa ya mali za haraka jambo lililopelekea kuwa wadokozi na wezi wa vitu mbalimbali kwenye maeneo yao. Na;Emmanuel Twimanye Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 17 amekamatwa na Jeshi la Polisi jamii…
1 October 2024, 00:23
Kisima cha maji chadhaniwa kuwa na gesi asilia Mtwara Vijijini
Hii ni hali inayowashangaza wananchi wengi wa kijiji cha Mnyundo huku fikra zao zikiwa katika uwepo gesi asilia sehemu ambayo maji yanatokea . Na Musa Mtepa Wananchi wa kijiji cha Mnyundo, kata ya Ndumbwe, halmashauri ya Mtwara, mkoani Mtwara, wamesema…
19 July 2024, 17:29
UWSA Mbeya kuongeza mtandao wa maji taka
Na Sifael Kyonjola Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mkoa wa Mbeya imepanga kuongeza mtandao wa maji taka na kukarabati ili kuwafikia wateja wengi zaidi. Hayo yamesemwa na kaimu meneja wa mamlaka ya maji safi na usafi wa…