Radio Tadio

Mawasiliano

27 September 2023, 15:21

UCSAF kupeleka mawasiliano katika kata 1900 Nchini

Mfuko wa Mawasiliano kwa wote UCSAF umeendelea na jitihada za kuhakikisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano ambapo kwa kpindi cha mwaka mmoja julai 2022 hadi june 2023 umejenga minara 304. Na Mariam Matundu. Mfuko wa mawasiliano kwa wote UCSAF umesaini…

12 September 2023, 8:16 am

Wanajamii kunufaika na intaneti Nyasa

lengo la mradi huo ni kuhakikisha jamii hasa vijijini wanapata huduma ya intanenti yenye kasi na gharama zinazoweza kufikiwa na watu wote Mkurugenzi wa Tzcna Dr Matogolo jabhera akifunga kifaa cha kusaidia upatikanaji wa intaneti katika shule ya sekondari luhangarasi…

28 August 2023, 17:45

Serikali yakamilisha ujenzi wa minara 304 ndani ya Mwaka mmoja.

Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF)  unaendelea na ukaguzi wa minara yote iliyowashwa ili kuona utendaji kazi wake unakidhai vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Mikataba Na Selemani Kodima Katika kuendelea kutatua changamoto za mawasiliano nchini  ,Serikali  imefanikiwa kukamilisha  miradi ya mawasiliano …

14 July 2023, 4:05 pm

Storm FM yaendelea kujengewa uwezo na TADIO

Mtandao wa Redio Jamii wa TADIO umeendelea kuziimarisha redio hizo kwendana na wakati hususani katika kurusha matangazo kwa njia ya mtandao. Na Mrisho Sadick: Mtandao wa TADIO umeendelea kuijengea uwezo Storm FM wa namna ya kutumia mtandao wa Redio Portal…

10 July 2023, 10:33 am

Mawasiliano kuimarika Katavi

MPANDA Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, kupitia mradi wa Tanzania ya Kidigitali inatarajia kujenga minara ya mawasiliano katika mkoa wa Katavi ili kuimarisha mawasiliano kwa wananchi na kuchochea ukuaji wa uchumi mkoani humo. Hayo amesema na Naibu…