Unyanja FM

Wanajamii kunufaika na intaneti Nyasa

September 12, 2023, 8:16 am

lengo la mradi huo ni kuhakikisha jamii hasa vijijini wanapata huduma ya intanenti yenye kasi na gharama zinazoweza kufikiwa na watu wote

Mkurugenzi wa Tzcna Dr Matogolo jabhera akifunga kifaa cha kusaidia upatikanaji wa intaneti katika shule ya sekondari luhangarasi

mradi huo unalenga kuwaunganisha wanajamii ili kupata mtandao wa intanet wa uhakika na wagaharama nafuu

Na Godlove Matiku

Taasisi ya mitandao ya kijamii Tanzania Tzcn imeanzisha mradi wa kuimarisha mtandao wa internet Nyasa mradi huo unalenga kuwaunganisha wanajamii ili kupata mtandao wa intanet wa uhakika na wagaharama nafuu Dr matogolo jabhela mtendaji mkuu wa Tzcn ameeleza kushirikiana na Mtandao jamii Nyasa community network kupata vifaa vya Tehama vitakavyosaidia vituo vya kijamii na shule mradi huu pia unaendeshwa katika wilaya za Tarime,Kasulu na Kondoa.

Dr matogolo jabhela akielezea jinsi mradi wa mtandao jamii [community network] utakavyoshirikisha wanajamii kua na intaneti yao wenyewe