Recent posts
December 3, 2024, 11:39 am
Veta Nyasa Fursa kwa kujiajiri
Chuo cha Ufundi Stadi Veta Nyasa kimefanya Mahafali yake ya kwanza mahafali yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Chuo hicho na Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo ni Mkuu Wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri . kwenye picha ni mgeni…
August 16, 2024, 10:29 pm
Takukuru Nyasa yatoa elimu kupambana na rushwa kuelekea uchaguzi selikali za mit…
Taasisi ya kuzui na kupamba na rushwa (TAKUKURU) wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma inaendele na zoezi la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kupiga vita vitendo vya rushwa wakati taifa likielekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Akizungumza na waandisha wa…
April 20, 2024, 12:01 pm
Unyanja fm yapewa tahadhari kuelekea uchaguzi
Ruhundwa amesema vitendo vya upendeleo wakati wa kuwahoji viongozi au wanachama wa vyama vya siasa hususan nyakati za uchaguzi zinaweza kuleta chuki na kusababisha migogoro mikubwa na hata ugomvi kati ya Waandishi au watoa maadhui na wanasiasa au wafuasi wa…
October 31, 2023, 10:43 am
Serikali yazidi kuimarisha miundombinu ya barabara na maji Nyasa
Serikali yazidi kuimarisha miundombinu ya barabara na maji Nyasa Mkuu wa wilaya ya nyasa MH.FILBERTO HASSAN SANGA amewahasa wananchi kutumia vizuri fursa za uchumi zinapojitokeza hasa kilimo na uvuvi kwa kuwa ndio shughuli tegemezi na zinazofanywa na watu wengi wilayani…
September 12, 2023, 9:24 am
Maisha na UVIKO 19
Umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19 kwa wana jamii na kuchukua tahadhari ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya mlipuko huo. Mtalaam wa afya kutoka ofisi ya Mganga mkuu wilaya ya Nyasa Dr Richard Kubingwa Akitoa elimu ya uchanjaji na kujikinga…
September 12, 2023, 8:16 am
Wanajamii kunufaika na intaneti Nyasa
lengo la mradi huo ni kuhakikisha jamii hasa vijijini wanapata huduma ya intanenti yenye kasi na gharama zinazoweza kufikiwa na watu wote Mkurugenzi wa Tzcna Dr Matogolo jabhera akifunga kifaa cha kusaidia upatikanaji wa intaneti katika shule ya sekondari luhangarasi…
September 11, 2023, 9:46 am
Viongozi wa shule wapewa mafunzo ya manunuzi
Walimu wa shule za msingi na sekondari wilayani Nyasa wapatiwa mafunzo kuhusu manunuzi ya umma. Na Sichali Netho Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Septemba 9, 2023 imetoa mafunzo ya mfumo wa manunuzi wa umma (NeST) kwa wataalam kutoka shule za…
October 13, 2021, 9:13 am
Mila na desturi zazuia fursa nyasa
Wanawake wa wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma,wailalamikia serikali kwa kukosa fursa ya kufanya kazi mbalimbali ikiwemo uvuvi katika ziwa nyasa na uuzaji wa samaki. unyanja fm ilifika mpaka ziwani na kuongea na baadhi ya wanawake hao,wanao jihusisha na biashara ya…