14 June 2024, 10:29 am

Mahujaji waliosafiri na Jumuiya ya Istiqama wawasili Minna kwa ibada

Na Waandishi wetu, Saudi Arabia na Zanzibar Jumla ya mahujaji 104 waliosafiri na Jumuiya ya kusafirisha mahujaji ya Istiqama Zanzibar, wamewasili katika Mji wa Minna leo asubuhi. Akitoa taarifa hiyo, Sheikh Sultan Khamis Al Mazrui, Mwenyekiti wa kamati ya hijja…

On air
Play internet radio

Recent posts

15 June 2024, 10:35 pm

Mahujaji waliosafiri na Jumuiya ya Istiqama, wawasili Muzdalifa

Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Kamati ya Hijja ya Jumuiya ya Istiqama, Sultan Khamis Al Mazroui amewaongoza mahujaji waliosafiri na kundi lao kuondoka viwanja vya Arafa na kuwasili Muzdalifa baada ya kukamilisha nguzo kuu ya Hijja. Sheikh Sultan amesema kuwa,…

14 June 2024, 10:29 am

Mahujaji waliosafiri na Jumuiya ya Istiqama wawasili Minna kwa ibada

Na Waandishi wetu, Saudi Arabia na Zanzibar Jumla ya mahujaji 104 waliosafiri na Jumuiya ya kusafirisha mahujaji ya Istiqama Zanzibar, wamewasili katika Mji wa Minna leo asubuhi. Akitoa taarifa hiyo, Sheikh Sultan Khamis Al Mazrui, Mwenyekiti wa kamati ya hijja…

13 June 2024, 6:25 pm

SMZ: Asasi za kiraia zina mchango mkubwa kwa vijana

Na Nishan khamis, Mjini Unguja Mkurungezi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana zanzibar Shaib Ibrahim Mohamed amesema serikali ya mapinduzi ya zanzibar inatambua na kuthamini michango ya asasi za kiraia kwa maendeleo ya vijana nchini. Shaib, amesema hayo leo katika…

13 June 2024, 4:23 pm

Kukosekana hati miliki chanzo cha migogoro ya ardhi CP HAMAD

Na Said Bakar, Zanzibar Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amesemaa kesi nyingi za migogoro ya ardhi zinazoripotiwa vituo vya Polisi chanzo chake ni kukosekana kwa hati miliki za maeneo hayo. Ameyasema hayo huko Makao Makuu ya Polisi Zanzibar…

8 June 2024, 5:19 pm

Masheha simanieni sheria na utawala bora- RC Kaskazini Unguja

Na Abdul Sakaza, Mkoa Kaskazini Unguja Masheha katika mkoa wa kaskazini Unguja wametakiwa kufanya kazi kwa kufuata misingi, sheria na uadilifu ili kukuza utawala bora katika jamii. Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa Kaskazini Unguja Hadidi Rashid Hadidi wakati alipokua…