Recent posts
25 September 2026, 8:30 am
Jamii iko tayari kukabiliana na athari za mvua za El Niño
Makala ya Kurunzi maalumu. Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA) imetabiri uwepo wa mvua za juu ya wastani hadi wastani zenye hali ya El-Nino katika Msimu wa vuli mwaka 2026/27,katika makala hii tunaangazia ikiwa jamii ipo tayari kuendana na…
21 September 2026, 4:48 pm
Simanjiro yajipanga kukabili mvua za El Niño, DC atoa maelekezo
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mwalimu Fakii Lulandala, ameeleza hatua zilizochukuliwa na Kamati za Usalama na Maafa kukabiliana na mvua za El Niño, ikiwemo kuwataka wakazi wa maeneo hatarishi kuhama mapema. Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mwalimu…
18 September 2026, 8:30 pm
Umuhimu wa kutumia mbegu bora kwenye kilimo
Zao aina ya Mahindi katika shamba la mfano Shule ya msingi ya Terrat Simanjiro ambalo lilioteshwa kwa kutumia mbegu bora. (Picha na Isack Dickson). Makala ya Kurunzi Maalumu. Mkoani Manyara, takwimu zinaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wakazi wanategemea kilimo, lakini…
17 September 2026, 5:47 pm
Wakulima Terrat watakiwa kujiandaa mapema
Picha ya afisa kilimo kata ya Terrat bwana Juma Thabiti akizungumza na mwandishi wetu Dorcas Charles. (picha na Isack Dickson) Matumizi ya mbegu bora, pamoja na maandalizi sahihi ya mashamba kwa wakati, ni miongoni mwa hatua muhimu zinazoweza kusaidia kuongeza…
14 September 2026, 11:54 am
Ulemavu Sio Kikwazo cha Uongozi Naisinyai
Picha inamuonyesha Bwana Supeti mwenyekiti wa watu wenye ulemavu Naisinyai akizungumza na mwandishi wetu Isack Dickson, Picha Na Dorcas Charles; “Nimejitokeza kwa sababu najiamini. Watu waliona uwezo ndani yangu na ndio maana wakanichagua,” Na Isack Dickson Katika Kijiji cha Losoito,…
12 September 2026, 6:13 pm
Jinsi Ukame Unavyotishia Maisha ya Wahadzabe na Wadatoga Karatu
Katika maeneo yanayozunguka Ziwa Eyasi wilayani Karatu, mabadiliko ya tabianchi na ukame vimegeuka kuwa mtihani mzito wa kila siku kwa jamii za asili za Wahadzabe na Wadatoga. Mbali na wanawake kutembea saa kadhaa au kununua dumu la maji kwa shilingi…
1 September 2026, 12:37 pm
Manyara watakiwa kujipanga kuepuka madhara ya El Nino
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mkoa wa Manyara imetoa tahadhari kwa wananchi kuhusu msimu wa mvua za Vuli zinazotarajiwa kuambatana na hali ya El Nino. Mamlaka imeonya kuwa mvua hizo zitakuwa nyingi zaidi ya wastani wa kawaida na…
28 August 2026, 3:32 pm
Simanjiro watakiwa kufuata misingi bora ya kilimo kupata mavuno mengi
Afisa Kilimo kutoka Wilaya ya Simanjiro, Jenifar Mbuya, amewataka wakulima mkoani humo kufuata kanuni na misingi bora ya kilimo ili kujiwekea mazingira ya kupata mavuno mengi na yenye tija. Na Dorcas Charles Akizungumza na Mwandishi wetu Dorcas Charles amesema taratibu…
27 August 2026, 1:13 pm
Kampeni ya kitaifa chanjo ya polio yaanza kutolewa
Mratibu wa Elimu ya Afya kwa Umma (DHO) Wilaya ya Simanjiro, Ghati Megewa, akiwa studio za Orkonerei Fm Radio (Picha na Isack Dickson) Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kulinda afya za watoto nchini, Wilaya ya Simanjiro imekamilisha maandalizi…
26 August 2026, 7:30 pm
Dk 30 za taarifa kamili ya habari 26 Agosti 2026
Karibu kusikiliza taarifa yetu ya habari ya tarehe 30 Agosti 2026 iliyosomwa na Isack Dickson ambapo utasikia Habvari za kijamii,Kitaifa,kimataifa na michezo na Burudani