Orkonerei FM

Recent posts

8 February 2024, 2:51 pm

Zaidi ya wasichana milioni 4 hatarini kufanyiwa ukeketaji 2024

Kwa mujibu wa UN Women, zaidi ya wasichana na wanawake milioni 200 duniani kote wamepitia Ukeketaji. Mwaka huu wa 2024, takriban wasichana milioni 4.4 watakuwa katika hatari ya kufanyiwa ukatili huo, hii ikiwa ni wastani wa zaidi ya kesi 12,000 kila…

8 February 2024, 12:58 pm

Umeme jua unavyotumika katika  ushoroba wa Kwakuchinja

Licha ya hatari inayokumba ushoroba wa Kwakuchinja lakini bado kuna jitihada zinazofanywa na wadau mbalimbali kuhakikisha kuwa ushoroba huo unalindwa na kuendelezwa kwa manufaa ya wanyamapori na jamii zinazozunguka. Na Isack Dickson. Ushoroba wa Kwakuchinja ni sehemu muhimu ya makazi…

15 January 2024, 3:52 pm

Simanjiro: Terrat waomba muda zaidi ujazaji fomu za maombi ya NIDA

Zoezi la siku tatu la ujazaji fomu za kuomba namba za Kitambulisho cha Taifa-NIDA limekamilika katika kata ya Terrat wilaya ya Simanjiro huku wananchi wengi wakishindwa kujaza fomu hizo kutokana na msongamano. Na Joyce Elius. Zoezi hilo la ujazaji wa…

11 January 2024, 1:15 pm

Kauli ya mkuu wa mkoa wa Arusha kuhusu watoto kurejea shuleni

Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuweka swala la elimu kuwa kipaumbele na kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira mazuri na kuhakikisha wazazi wanawapeleka watoto shule. Na Nyangusi Olesang’ida Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wazazi na…

30 December 2023, 8:48 am

Walinzi wa uhifadhi wanavyohatarisha maisha kulinda shoroba.

Juhudi zinazo fanywa na  askari wa uhifadhi ,Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na wananchi walio  jirani katika  maeneo ya uhifadhi haswa shoroba ama mapitio ya wanayapori kama Kwakuchinja zinahitajika kuongezwa na kuboreshwa ili  kufikia azma kuu ya nchi…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”