Orkonerei FM

Mifumo ya kuripoti vitendo vya rushwa ni rafiki kwa mwanamke

31 May 2024, 3:12 pm

Mifumo ya kuripoti matukio ya rushwa ni njia ambazo mwananchi ama yule aliyefikwa na tatizo kuweza kufikisha mahala panapostahili.

Mifumo hiyo ipo ya namna nyingi mfano kufika mwenyewe kwenye ofisi za takukuru lakini kupiga simu na kutumia ujumbe mfupi ila kuna changamoto,haswa wanawake kulingana na mila,desturi na tamaduni ambazo zinamzuia mwanamke kuzungumza.

Wakati mwingine jamii haimwamini mwanamke kama kweli ameombwa Rushwa,Katika Makala hii ya Nijuze inaangazia “Mifumo ya kuripoti maukio ya rushwa ni Rafiki kwa Mwanamke?” karibu kuisikiliza.