Orkonerei FM

Mikutano inayoitishwa na kiongozi wako inawashirikisha wazee kujadili Upatikanaji wa maji?

2 May 2024, 8:32 am

Nijuze Radio Show.

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 idadi ya wazee wenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea nchini Tanzania ni milioni 3.7 sawa na asilimia 6.0 ya watu wote.

Lakini kuna baadhi ya viongozi wamekuwa na kasumba ya kuwashirikisha wazee katika vikao vya maamuzi haswa kujadili upatiikanaji wa Maji,Kwanini imekuwa hivyo?

karibu kuisikiliza makala hii ya NIJUZE RADIO SHOW inayoangazia ikiwa Viongozi watawashirikisha wazee kujadili upatikanaji wa maji nini kitatokea?