

13 December 2023, 3:27 pm
Kijiji cha Terrat kilichopo wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara huwa na Soko kila siku ya alhamisi ambapo wachuuzi na wafanyabiashara mbalimbali hufika kutoa huduma zao.
Katika makala fupi hii Mwanahabari Dorcas Charles amefika katika Moja ya Bucha maarufu la kuchoma nyama katika soko hilo akiangazia kuhusiana na biashara ya kuchoma.