Orkonerei FM

Wazee ni muhimu katika miradi ya Maji.

2 May 2024, 8:08 am

Wananchi wa kata ya Terrat wakiwa katika mkutano.

Na Evander Barnaba.

Wazee wamekuwa ni watu muuhimu mno katika maamuzi mbalimbali kwenye jamii,na hii ni zaidi kwa jamii za kifugaji haswa Wamasai iwe ni kwenye maamuzi ngazi ya Familia,Kijiji na hata jamii kwa ujumla.

Katika makala fupi hii ya mwanahabari wetu Evander Barnaba inaangazia ikiwa wazee wanashirikishwa katika mikutano inayoamua juu ya utekelezaji wa miradi ya maji katika maeneo yao?