Orkonerei FM

Migogoro ya ardhi ilivyomnyima kufanya maendeleo

10 July 2024, 3:27 pm

Na Baraka David Ole Maika.

Lucas ni mkaazi wa wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha familia yake imekuwa na mgogoro wa ardhi ambao umesababisha kushindwa kufanya maendeleo yoyote katika Ardhi wanayo miliki.

Mwanahabari wetu Baraka David Ole Maika amefunga Safari hadi kijijini kwake na kufanya nae mahojiano haya ambapo anaeleza kuwa mgogoro huo ni tangu enzi za wazazi wake wakiwa hai mpaka sasa