Ardhi
10 August 2026, 12:45
Polisi wapiga marufuku abiria wengi
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilombero limewataka madereva wa bodaboda, bajaji na guta kuzingatia sheria za usalama barabarani, ikiwemo kutobeba abiria zaidi ya mmoja kwa bodaboda na bajaji, huku guta likisisitizwa kuwa chombo cha kubeba mizigo. Na; Kuruthum Mkata Mkuu…
31 July 2026, 7:02 pm
Polisi, wananchi Sengerema wafanya usafi Jumamosi ya mwisho wa mwezi
Jeshi la polisi Nchini linazidi kujisogeza kwa wananchi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii kwa kushirikiana nao ili kuongeza ushirikiano baina ya wananchi na jeshi hilo. Na,P eter Marlesa Jeshi la Polisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza limesema kampeni mbalimbali za…
23 July 2026, 08:22
Polisi wahimiza usalama wa matrekta
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilombero limewataka wamiliki na madereva wa matrekta pamoja na power tiller kuzingatia sheria za usalama barabarani kwa kuhakikisha vyombo vyao vina taa, viakisi mwanga na madereva wanakuwa na leseni halali ili kupunguza ajali. Na: Isidory…
2 July 2026, 11:21 am
GGML yang’ara tuzo 2 za Rais, ikitambuliwa mlipakodi bora wa jumla
Mamlaka ya mapato nchini Tanzania ilianzishwa rasmi Julai 01, 1996 ambapo imetimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake kwa kufanya mambo mbalimbali kwenye jamii sambamba na kuwatambua walipa kodi wanaofanya vizuri. Na: Ester Mabula Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)…
29 June 2026, 5:07 pm
GGML yashiriki Tuzo za Business SDG Awards 2026
Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshiriki hafla ya utoaji wa Tuzo za Business SDG Awards 2026 kama mdhamini wa ngazi ya Dhahabu (Gold Sponsor), ikiungana na viongozi waandamizi wa Serikali na sekta binafsi. Na: Ester Mabula Hafla hiyo…
21 June 2026, 20:32
Dimani yapanga operesheni kudhibiti madawa ya kulevya
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama, Rehema Makame Msheli, amewataka wazazi kuimarisha malezi ya watoto ili kuwakinga dhidi ya matumizi ya madawa ya kulevya. Viongozi wa wilaya hiyo wameeleza kuwa matumizi ya madawa ya kulevya yanachangia ongezeko la uhalifu…
7 June 2026, 4:05 pm
Ester Mabula ashinda tuzo ya mtangazaji bora wa redio 2026 mkoani Geita
“Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii naimani kabisa Tuzo hii itaongeza motisha kwangu katika kazi yangu” – Ester Mabula Na: Mrisho Sadick Mwandishi wa habari na mtangazaji wa kituo cha Redio cha Storm FM kilichopo mkoani Geita Bi. Ester…
7 June 2026, 3:33 pm
Mmiliki shule ya Kadama ashinda tuzo CEO bora Geita
Usiku wa June 06, 2026 zimetolewa tuzo za malkia wa dhahabu kwa kuthamini jitihada za wanawake katika sekta mbalimbali mkoani Geita. Na: Ester Mabula Mkurugenzi na mmiliki wa Kadama English Medium Primary School Bi. Leticia Pastory ametunukiwa tuzo ya mmiliki…
3 June 2026, 10:18
MUCE yakuza tafiti na ubunifu Iringa
Na Hafidh Ally Zaidi ya shilingi milioni 300 zimewekezwa na Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) katika kuendeleza mawazo bunifu na tafiti mbalimbali zenye lengo la kuzalishwa kibiashara na kutoa suluhisho kwa changamoto za kijamii na kiuchumi nchini. Hayo yameelezwa…
21 May 2026, 08:38
Iringa kufanya wiki ya utafiti na ubunifu
Wananchi Mkoani Iringa wanatarajia Kunufaika Na Maarifa Na Teknolojia Mpya kupitia maonesho hayo. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka wananchi kutumia fursa ya Wiki ya Utafiti, Ubunifu na Huduma kwa Jamii kujifunza na kunufaika na…