Orkonerei FM

Unakabiliana vipi na mila na desturi zinazokwamisha wanawake kushiriki kwnye vyombo vya maamuzi?

25 March 2024, 3:36 pm

Wanawake wakimaasai wakiwa katika mkutano.(picha kwa msaanda wa mtandao).

Na mwandishi wetu.

Wanawake hawana nafasi kubwa ya kushiriki katika mikutano,mijadala na hawana ujasiri wa kutoa maoni yao haswa wanawake wa jamii ya kifungaji,na hii ni kutokana na mila na desturi kandamizi.

Lakini zipo familia ambazo zimeweza kuachana na mila na desturi hizo kandamizi na wanawaruhusu wanawake kushiriki katika mikutano na vyombo vya maamuzi ambalo ni jambo zuri.

Katika makala hii ya nijuze inayoruka kila alhamisi saa 12:00 jioni na marudio yake ni Jumamosi saa 4:30 asubuhi inatupa hali halisi ilivyo na nini kifanyike ili kuhakikisha jamii inaachana na mila hizo kandamizi.