Orkonerei FM

Vikao vinavyofanyika kwenye eneo lako vinatoa nafasi ya kujadili maswala ya ukeketaji?

19 June 2024, 1:34 pm

Baadhi ya wanawake wa kimasi wakiwa katika mkutano wa kijamii (picha kwa msaada wa mtandao).

Kulingana na ripoti ya afya ya demografia na makazi yaani Demographic And Health Survey ya mwaka 2015/16 mkoa wa Manyara unaongoza kwa ukeketaji kwa asilimia 58 ya wanawake wenye umri kati ya miaka 15-49 wamefanyiwa ukeketaji.

Nijuze redio show.

Bado kuna changamoto nyingi kwenye kujadili ukeketaji katika vikao na mijadalia mbalimbali kwenye jamii,haswa zile zinzofanya ukatili huu.

Utafiti wa shirika la Umoja wa Mataifa la maswala ya Wanawake mwaka 20023 unaonjesha kuwa milia, desturi na tamaduni zimeweka vikwazo kwa wanawake katika ujadili mijadala kama hii.

Katika makala hii ya Nijuze inaangazia ni kwanamna gani mijaadala na vikao mbalimbali vinavyoweza kujadili ukatili huu wa kijinsia haswa kwa wanawake.