Radio Tadio

Afya

9 October 2021, 8:14 am

Wizara ya afya watakiwa kutoa elimu ya chanjo vijijini

Kutokuwepo kwa elimu ya kutosha kwa baadhi ya vijiji ni changamoto inayopelekea kushindwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa korona. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa nyakati tofauti wananchi  wa wilaya ya mkoani wamesema ni  vyema  wizara  ya  afya…

6 October 2021, 8:05 am

Madaktari Nigeria warejea kazini baada ya mgomo wa miezi 2

Madaktari wa hospitali za serikali nchini Nigeria wanarejea kazini baada ya miezi miwili ya mgomo mkubwa kabisa. Madaktari hao wamekuwa wakipigania ongezeko la mishahara, mafao na vifaa vya kazi. Chama cha Madaktari nchini humo, NARD, ambacho kinawakilisha asilimia 40 ya…

28 September 2021, 11:18 am

WANANCHI PEMBA WAOMBA ELIMU YA CORONA

Na Fatma Suleiman Wananchi kisiwani pemba wameiomba serikali kutoa elimu kuhusu korona wimbi la tatu, ili kuongeza uelewa  na kuzidisha tahadhari  ya kujikinga na maambukizi hayo kwa wanajamii Wakizungumza na habari hizi baadi ya wananchi hao, wameeleza kuwa awali ilipoingia korona…

28 September 2021, 10:27 am

Udhalilishaji katika mkoa wa Kusini

Mkuu wa kitengo cha kuziua ukatili wa kijinsia katika jeshi la polisi wilaya kusini Unguja, akiwa katika kituo cha Radio jamii kuelezea jinsi ya tatizo linavyo pungua katika Mkoa wa kusini Unguja.

September 28, 2021, 9:10 am

UNICEF yapiga jeki malezi bora ya watoto Zanzibar

Na Ali Khamis Wataalamu Kutoka shirika la UNICEF na wizara ya kazi, uwezeshaji wazee wanawake na watoto wametoa mafuzo ya habari za uchunguzi ya haki za watoto kwa wandishi wa habari za maendeleo WAHAMAZA juu ya malezi bora yatakayosaidia kuwa…

September 2, 2021, 8:22 am

Walio sababisha maradhi ya chanjo kwa mifugo wasakwa

Na. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ameagiza kutafutwa mara moja kwa wataalamu wa mifugo waliotoa chanjo ya mifugo katika Kijiji cha Mlazo Kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, na kusababisha baadhi ya mifugo kufa na…