Afya
3 Machi 2026, 17:24
Wakulima watakiwa kuwekeza kilimo cha tangawizi
Kilimo cha tangawizi ni fursa nzuri kwa wakulima kutokana na soko lake kubwa na faida zake kiafya kwa kufuata kanuni bora za kilimo, mkulima anaweza kupata mavuno mengi na kuongeza kipato chake. Na Michael Mpunije Wakulima Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma…
3 Machi 2026, 11:16
Baraza la Madiwani Masasi lafanya mapitio ya utekelezaji Miradi
Ni kikao kazi ambacho Madiwani ambao ni wawakilisha wa wananchi katika maeneo mbalimbali wakijadiliana na kuidhinisha mipango ya kimaendeleo kwa pamoja Na Lilian Martin. Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Masasi limejadili kwa pamoja na kuidhinisha rasimu ya mpango na…
2 Machi 2026, 09:39
Uvinza yadhamiria kuwa kinara uzalishaji zao la korosho
Zao la korosho ni miongoni mwa mazao muhimu ya biashara na korosho imekuwa nguzo muhimu katika kuinua uchumi wa taifa na kuboresha maisha ya wananchi, hasa wakulima wa vijijini. Na Mwandishi wetu Wilaya ya Uvinza imedhamiria kuwakilisha vema Mkoa wa…
12 Febuari 2026, 21:01
Ifakara hainufaiki na kiwanda cha sukari Kilombero
“Wakulima wengi wameamua kutoa zao la muwa na kupanda mpunga kutokana na kupungua kwa bei ambapo kipindi cha nyuma walikuwa wakiuza gari moja la miwa Tsh Mil.3 lakini kwa sasa gari hilo linauzwa hadi chini ya Laki 8” Na Katalina…
11 Febuari 2026, 13:28
Madiwani Masasi wakoshwa na msimamizi wa miradi
Madiwani wa Halmashauri ya Mji Masasi wamempongeza Mkurugenzi wa Mji Ndg Reuben Jichabu na menejimenti kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2.1 ambayo inatekelezwa na Halmashauri kupitia mapato ya ndani na fedha…
11 Febuari 2026, 13:13
Masasi yampongeza Rais Samia kwa kuboresha miundombinu
Kutembea umbali mrefu kufuata shule ilipo hii ni changamoto ambayo wakati mwingine huzima ndoto za watoto kutokana na adha wanazo kutananazo wakiwa njiani lakini inapotokea kuwepo na shule mahali panapofikika kwa urahisi hii uleta furaha si kwa watoto tu hadi…
22 Januari 2026, 6:26 um
Uroki Bomang’ombe watumia mapato ya ndani kuondoa adha ya maji
Bodi ya Maji Uroki Bomang’ombe wametumia fedha za mapato yao ya ndani ili kutatua changamoto ya maji kwa wananchi wa wilaya ya Hai, mkuu wa wilaya ya Hai na Viongozi wengine wamepongeza juhudi hizo za kutatua adha ya maji kwa…
20 Januari 2026, 15:28
Wafanyabiashara walia na ukamataji holela Kasulu
Jeshi la Polisi limewasihi wafanyabiashara kuwa waaminifu na kuepuka udanganyifu katika kupima mazao ikiwa ni pamoja na kutumia serikali ya kata na mtaa kutatua kero zinazojitokeza katika eneo lao Na Emmanuel Kamangu Wafanyabiashara wa mazao katika soko la Mnadani Kata…
14 Januari 2026, 10:55
COPRA yakabidhi mbegu za mbaazi kwa wakulima Uvinza
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh. Dinah Mathamani amesema kuwa kilimo bado ni uti wa mgongo wa uchumi wa wananchi wa Uvinza na kuwa mbegu bora zinasaidia kuongeza mavuno Na Mwandishi wetu Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko…
14 Januari 2026, 10:41 mu
Kijana ashambuliwa kwa kipigo akihisiwa ni mwizi
“Jamani mtu kama unaona kakosea ni bora kumpeleka kwenye mamlaka husika na sio kumpiga na kumtelekeza kama hivi” – Mwananchi Na: Ester Mabula Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28 ambaye ameshindwa kuzungumza vizuri huku akishindwa kutaja jina…