Afya
21 July 2026, 10:22
Wananchi walalamikia kushuka kwa bei ya mazao
Wananchi wameeleza kuwa gharama za mbolea zimeendelea kupanda na kuwa mzigo mkubwa kwa wakulima huku wakilalamikia kuhuka kwa bei za mazao. Na Hafidh Ally Wananchi wa Kata ya Ulanda, Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, wamelalamikia kushuka kwa bei za mazao…
21 July 2026, 08:50
RC Kheri aagiza ununuzi wa bidhaa za ndani
RC Khei amesena kuwa matumizi ya bidhaa za ndani yataongeza kipato cha wazalishaji, kuchochea uundaji wa ajira, kuimarisha biashara na kuongeza mzunguko wa fedha ndani ya Mkoa wa Iringa. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James,…
17 July 2026, 13:19
Mradi wa bilioni 65 kuimarisha kilimo cha mpunga Kigoma
Mradi wa umwagiliaji wa bonde la Mto Luiche unaotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ni miongoni mwa miradi mikubwa ya maendeleo inayolenga kuimarisha sekta ya kilimo nchini Na Tryphone Odace Serikali imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa umwagiliaji wenye…
6 July 2026, 11:56
Kasulu waiomba serikali kupitia upya bei ya tumbaku
Bei ya mazao ya kilimo ina mchango mkubwa katika maisha ya mkulima na maendeleo ya taifa kwa ujumla na miongoni mwa mazao hayo ni tumbaku, ambayo hulimwa katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania na kuwa chanzo muhimu cha kipato kwa…
3 July 2026, 09:49
Mlimba yalenga kukusanya bilioni 9.3
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba imepanga kukusanya shilingi bilioni 9.3 kupitia mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2026/2027, ikilenga kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuboresha huduma kwa wananchi. Na: Kuruthum Mkata Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba imeweka…
29 June 2026, 13:19
Hakirasilimali yatoa elimu ya madini
Wananchi wa vijiji vya Epanko, Kisewe na Mdindo wilayani Ulanga wamepata elimu kuhusu haki za madini, fidia na ushiriki wao katika miradi ya uwekezaji, huku wakipata fursa ya kuhoji masuala mbalimbali yanayohusu mgawanyo wa mapato na manufaa ya rasilimali za…
23 June 2026, 07:09
Vijana 50 wapatiwa mafunzo mbasa
Vijana 50 wa Kata ya Mbasa, Halmashauri ya Mji Ifakara, wamepatiwa mafunzo ya ujasiriamali, afya ya uzazi na stadi za maisha na Shirika la WISE, yakilenga kuwawezesha kujiajiri na kuboresha maisha yao kiuchumi. Na: Isidory Mtunda Vijana wapatao 50 kutoka…
22 June 2026, 20:23
CRDB yazindua kampeni ya bonge la Wakala Kilombero
Lengo ni kuhakikisha huduma za kifedha zinawafikia wananchi kwa urahisi zaidi kupitia mawakala wetu waliopo karibu na maeneo Na Katalina Liombechi Benki ya CRDB imezindua kampeni ya miezi sita ya “Bonge la Wakala” kupitia huduma ya Simbanking kimpango wako inayolenga…
19 June 2026, 22:06
Uvinza yajiandaa ununuzi wa pamba msimu wa 2025/2026
Mpango huo umetajwa na kuwa na manufaa kwa wakulima iwapo utasimamiwa vizuri na kuhakikisha wakulima wanapata faida Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Mh. Dinah Mathamani, ameongoza kikao cha wadau wa zao la pamba kilichofanyika Juni 19, 2025…
8 June 2026, 11:15 am
Sagayika alaani tukio la mwanafunzi kubakwa Chato
Jeshi la Polisi limeeleza kuwa uchunguzi wa tukio hilo unaendelea huku likiwataka wananchi kuendelea kushirikiana na vyombo vya dola katika kutoa taarifa zitakazosaidia kukamilisha uchunguzi na kuhakikisha haki inatendeka. Na Mrisho Sadick: Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambae…