Afya
8 July 2022, 14:28
MAKALA: wananchi wakerwa na tabia za kuwatupa watoto
Utupaji wa watoto wachanga mara baada ya kuzaliwa limekuwa ni tukio la kikatili ambalo kwasasa limeonekana kushamili katika jamii katika nchi za kiafrika. Katika tukio la hivi karibuni lililotokea katika msitu uliopo kata ya Naliendele, Jamii fm imeangazia tukio hilo…
11 June 2022, 08:17
TBS Yateketeza Bidhaa Za Vyakula Na Vipodozi Katavi
BIDHAA mbalimbali za vyakula na vipodozi vyenye thamani takribani ya shilingi za Kitanzania milioni 7 zimeteketezwa katika dampo la Manispaa ya Mpanda baada ya kukutwa hazikidhi viwango kwa mujibu sheria ya Viwango Na 2 Sura 130. Bidhaa hizo zilizoteketezwa mjini…
30 May 2022, 7:05 am
HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA ZA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WAVIU NA MWANDISHI W…
Naibu Waziri Ofisi yaWaziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza na viongozi na watendaji wa Mkoa wa Tanga alipokuwa akipokea taarifa ya Mkoa huo ya Mapambano dhidi ya Virusi vya Ukimwi. NA MWANDISHI WETU Naibu Ofisi yaWaziri…
27 May 2022, 14:44
NMB yasaidia Vifaa vya kujifungulia mama wajawazito Likombe Mtwara
Na Gregory Millanzi Katika Kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali katika kuboresha Sekta ya afya hapa nchini, Benki ya NMB Kanda ya Kusini imekabidhi viti mwendo vitano (Wheel Chair) na Vitanda Viwili vya kujifungulia (Delivery beds) kwa akina mama wajawazito…
26 May 2022, 15:01
Manispaa ya Mtwara Mikindani yavuka lengo la Chanjo ya Polio
Na Gregory Millanzi Halmashauri ya Manispaa Mtwara-Mikindani iliyopo Mkoani Mtwara imevuka lengo la Uchanjaji wa Chanjo ya Polio kwa Watoto wenye Umri chini ya Miaka Mitano baada ya kuchanja Watoto elfu 18760 sawa na asilimia 119 Kati ya elfu 15760…
17 May 2022, 14:11
Asilimia kumi ya Watu duniani wanaishi na magonjwa sugu ya figo
Na;Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa Shinikizo la juu la damu pamoja na kisukari ni vyanzo vya figo kushingwa kufanya kazi na kusababisha kusambaa kwa sumu mwilini endapo mgonjwa asipopata matibabu kwa wakati. Akizungumza na kituo hiki Daktari bingwa wa Magonjwa ya…
11 May 2022, 14:34
Taasisi za lishe zatakiwa kubadilishana uzoefu ili kupambana na utapiamlo
Na; Selemani Kodima. Wizara na Taasisi zinazohusiana na masuala ya lishe nchini zimetakiwa kushirikiana na kubadilishana uzoefu katika mapambano dhidi ya Utapiamlo kuhakikisha jamii na Taifa linakuwa salama. Akizungumza katika mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu Mpango wa Pili Jumuishi wa…
10 May 2022, 14:02
Vyuo vya Afya 20 kuchukuliwa hatua kwa kufanya udanganyifu
Na:Mindi Joseph. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi ameagiza NACTVATE kuvi chukuliwa hatua Vyuo 20 vya afya vilivyokaguliwa na kufanya udanganyifu ili kulinda viwango vya taaluma ya afya Nchini. Akizungumza…
30 April 2022, 06:42
Masasi yazindua kampeni ya chanjo ya Polio kwa Watoto
Na Gregory Millanzi. WILAYA ya Masasi mkoani Mtwara imezindua rasmi Kampeni ya utoaji wa chanjo ya matone ya ugonjwa wa Polio kwa watoto zaidi ya 55,234 walio chini ya miaka mitano lengo likiwa ni kuwakinga dhidi ya maambukizi ya virusi…
15 November 2021, 15:02
COP 26: Hatua za muhimu bado Vitendawili.
Kuanzia October 31 hadi Novemba 13 mwaka huuu Viongozi mbalimbali wamekutana nchini Scotland Kushiriki katika Mkutano unaofahamika kwa jina COP ikiwa mwaka huu ni COP26. Tanzania ikiwakilishwa na VIONGOZI mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…