Afya
18 August 2021, 9:05 pm
Mkoa wa Shinyanga unaendelea kusimamia na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama…
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati amesema Serikali ya Mkoa wa Shinyanga inaendelea kusimamia na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya mambo yanayoonekana katika jamii ili kuhakikisha kura za uchaguzi zinaenea katika uchaguzi Mkuu ujao. …
31 July 2021, 15:18
Mtwara: Watu 15 watuhumiwa kwa Viuatilifu feki
Na Musa Mtepa. Jumla ya Tani 84.3 za pembejeo Feki (Viuatilifu) zenye thamani ya Zaidi ya milioni 100 zimekamatwa katika oparesheni maalumu wakati zikipelekwa Kwa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara. Akizungumza Na waandishi WA Habari ofisini kwake Mkuu…
26 March 2021, 08:13
Uwajibikaji wa Vijana ni matunda ya kumuenzi Rais Magufuli
Na; Selemani Kodima Vijana Nchini wametakiwa kuendelea kuwajibika na kuonesha Uzalendo katika Majukumu yao ili kuenzi uzalendo ambao uliooneshwa na Hayati Rais Magufuli wakati wa Utawala wake. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya maendeleo ya Vijana Dodoma DOYODO…