Recent posts
26 September 2026, 12:52 am
Wazazi Watakiwa Kuwekeza Zaidi Katika Elimu ya Watoto
‘‘Malezi bora pamoja na elimu ni msingi muhimu wa kuwaandaa watoto kwa maisha yao ya baadaye’’ Wazazi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza zaidi katika elimu ya watoto wao, na kuwa elimu ni urithi muhimu unaoweza kuwasaidia watoto katika maisha…
24 September 2026, 4:11 pm
Diwani akabidhi uwanja wa michezo kwa vijana
‘‘Eneo hilo lipo karibu na Bwawa la Nyihogo, hali iliyosababisha vijana kukosa sehemu rasmi ya kufanyia mazoezi na kuendesha shughuli za michezo’’ Vijana wa Kata ya Nyihogo, katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamekabidhiwa uwanja wa mpira kwa…
24 September 2026, 1:32 am
Sindano; Chakula shuleni chatajwa kuwa muhimu katika kuongeza ufaulu wa wanafunz…
‘‘Wazazi Kahama Wahimizwa Kushirikiana Kuhakikisha Wanafunzi Wanapata Chakula Shuleni’’ Wazazi na walezi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Anderson Msumba katika Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamehimizwa kuendelea kutoa ushirikiano katika suala la chakula shuleni ili kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula…
19 September 2026, 11:04 pm
PSSSF yatahadharisha mawakala wasio rasmi
‘‘Mfuko umewataka wanachama na wananchi kwa ujumla kuwa makini na watu wanaodai kutoa huduma za PSSSF nje ya njia rasmi, na kuhakikisha wanathibitisha huduma wanazohitaji kupitia ofisi au njia rasmi za mfuko’ Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa…
18 September 2026, 1:39 am
Diwani awapongeza vijana kwa vipaji vya soka
Diwani wa Kata ya Nyahanga katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Josephina Kilimba, amewapongeza vijana wa kata hiyo kwa kuonyesha uwezo na vipaji vyao katika michuano ya mpira wa miguu. Na mwandishi wetu Vijana waliofanya vizuri katika michuano hiyo wamepata…
16 September 2026, 2:32 pm
Wananchi Nyandekwa wachangia zaidi ya milioni 13 kwa ajili ujenzi wa jengo la Ut…
‘‘Wananchi endelea kushiriki katika kukamilisha ujenzi huo, ambao unalenga kuboresha mazingira ya kujifunzia na kuongeza usalama kwa wanafunzi’’ Wananchi wa Kata ya Nyandekwa pamoja na wadau mbalimbali katika Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamechangia zaidi ya shilingi milioni 13 kwa…
8 September 2026, 11:26 pm
Nabii Suguye agusa maisha ya watoto yatima Kahama
‘‘Kiongozi wa dini, Nabii Nicolaus Suguye, ametoa msaada wa matofali elfu tatu na mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa kituo cha kulelea watoto yatima, huku akitoa wito kwa jamii kujitokeza na kuwasaidia watoto hao’’ Kiongozi…
5 September 2026, 1:03 am
Wazazi Ushetu, watakiwa kuwekeza elimu kwa watoto wao
‘‘Wazazi somesheni watoto wenu ili watimize ndoto zao’’ Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuacha tabia ya kuwaozesha watoto wao kwa lengo la kutafuta mali, na badala kuwapa nafasi ya kusoma ili waweze kutimiza…
2 September 2026, 2:38 pm
Madiwani Ushetu watakiwa kuelimisha wananchi mvua za El Nino
Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wametakiwa kwenda kuwajengea uelewa wananchi wa Kata zao kuhusu uchukuaji wa tahadhari baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini -TMA kutangaza ujio wa mvua za juu ya wastani El Nino. Tahadhari hiyo…
30 August 2026, 3:22 pm
Vijana jitokezeni kuonyesha vipaji vyenu vya soka
‘‘Vijana ni wakati wenu sasa wa kuonyesha vipaji vyenu vya soka ili muweze kupata fursa mbalimbali za mchezo wa mpira wa miguu’’ Vijana wa kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuonyesha vipaji vyao vya kucheza mpira wa…
