Jamii FM

MAKALA: wananchi wakerwa na tabia za kuwatupa watoto

8 July 2022, 14:28 pm

Utupaji wa watoto wachanga mara baada ya kuzaliwa limekuwa ni tukio la kikatili ambalo kwasasa limeonekana kushamili katika jamii katika nchi za kiafrika.

Katika tukio la hivi karibuni lililotokea katika msitu uliopo kata ya Naliendele, Jamii fm imeangazia tukio hilo na pia kuangalia ni utaratibu gani ambao wataalaamu kutoka ustawi wa jamii mkoani mtwara wanachukua katika kuwakabidhi watu wenye nia nia njema ya kuwalea watoto hao.

 

Ungana na Musa Mtepa katika makala haya maalum