Daktari kutoka hospitari ya Rufaa kanda ya kusini akizungumzia ugonjwa wa usonji. picha na Afisa habari SZRH
Jamii FM

Makala: Ufahamu ugonjwa wa Usonji

19 August 2023, 11:29 am

Daktari kutoka hospitari ya Rufaa kanda ya kusini akizungumzia ugonjwa wa usonji. picha na Afisa habari SZRH
Daktari kutoka hospitari ya Rufaa kanda ya kusini akizungumzia ugonjwa wa usonji. picha na Afisa habari SZRH

Na Grace Hamisi,

Usonji (autism spectrum disorder -ASD) ni ugonjwa wa neva wa ukuaji unaoathiri namna mtu anavyoshirikiana na wenzake, anavyozungumza, anavyojifunza, na tabia yake. Ingawa usonji unaweza kugundulika katika umri wo wote, ugonjwa huu huelezewa kuwa ni ugonjwa wa matatizo ya ukuaji (developmental disorder) kwa sababu dalili huonekana katika miaka miwili ya mwanzo ya maisha.

Hapa daktari Hussein athumani ambaye ni mtoa tiba kwa njia ya vitendo katika hospitari ya rufaa kanda ya kusini iliyopo mkoani Mtwara anatufahamisha kwa undani juu ya Katika mada hii ambapo tumezungumzia dalili za ugonjwa huu, kuelezea sababu za kupata ugonjwa huu na tiba na dawa zinazoweza kutumika kwa mtu mwenye tatizo hili.

Bonyeza hapa kusikiliza