Jamii FM

Makala – Vijana wamejiandaaje na Fursa za uwepo wa wa Gesi Mikoa ya Kusini

31 October 2023, 11:43 am

Musa Mtepa akizungumza na Victor Kaiza mkufunzi wa chuo cha Elimu ya mafunzo ya ufundi na uvuvi (FETA). Picha na mwandishi wetu

Na Musa Mtepa

Kipindi kinazungumzia uwepo wa shughuli za uzalishaji Gesi katika mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, je Vijana wamejiandaaje kukabiliana na fursa hiyo.

Kupitia kipindi hiki tumezungumza na Victor Kaiza mkufunzi wa chuo cha Elimu ya mafunzo ya ufundi na uvuvi (FETA) kufahamu kazi inayofanywa chuoni hapo huku kipindi kikihitaji kufahamu kupitia mafunzo hayo yanawezaje kuwa sehemu ya vijana wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuwa sehemu ya njia ya kunufaika na uwepo wa viwanda vya uchakataji na uziduaji wa Gesi Asilia kinachojengwa mkoani Lindi

Bonyeza hapa kusikiliza makala haya