Jamii FM

Kipindi: Elimu ya ugonjwa surua na rubella

27 March 2023, 11:18 am

Picha ya madaktari baada ya kumaliza kipindi cha elimu ya surua na rubella. Picha na Mussa Mtepa.

Na Gregory Millanzi, Mwanahamisi Chikambu na Mussa Mtepa

Utoaji wa chanjo ya surua na rubella kwa watoto umeanza kwa awamu ya dharula baada ya uwepo wa mlipiko wa magonjwa hayo ambayo yanawaadhiri watoto.

Kupitia kipindi cha dira ya asubuhi tumewapata wataalamu wa afya ili waweze kufafanua juu ya mlipuko huo wa ugonjwa hasa wagon jwa wanapofikia watatu.

Sikiliza kipindi hicho kilichorushwa na Jamii FM.