Muonekano wa Chanjo ya UVIKO 19
Jamii FM

Ufahamu wa chanjo ya Corona waongeza idadi ya watu kuchanja

30 January 2023, 12:37 pm

Na Mohamed Massanga

Baadhi ya mwananchi mkoani Mtwara waelezea sababu mbalimbali zinazo pelekea kupata chanjo ya UVIKO 19.

Ndg. Anani amesema moja ya sababu hizo nipamoja na kupunguza nguvu za kiume

Mfano wa muonekano wa Chupa ya Chanjo, Kirusi cha UVIKO 19 na Sindano.
Ndg. Anan na Justin Kannonyele wakielezea ufahamu wa Chanjo ya Corona.

Mpaka kufikia sasa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea msaada wa chanjo zaidi ya Milioni 2 kutoka nchi za magharibi na kuzigawa katika mikoa na wilaya mbalimbali kwa lengo la kuchanja wananchi ili kujikinga na UVIKO 19.