Jamii FM

Kipindi: Wanawake wahamasishwa kupima saratani ya mlango wa kizazi

28 March 2023, 16:26 pm

Madaktari wakiwa ndani ya studio za Jamii fm radio

Na Mussa Mtepa na Mwanahamisi Chikambu

Saratani ya mlango wa kizazi ni ugonjwa ukuaji usio wa kawaida wa chembechembe hai na mgawanyo wa chembechembe hai usio wa kawaida ambapo havionekani kwa macho ya kawaida.

Ugonjwa huu husambazwa kwa njia ya kujamiiana na  huwapata akina mama, kuanza ngono katika umri mdogo pia kuvuta sigara na ugolo, wanawake wanahimizwa kwenda kufanya uchunguzi kwenye hospitali ili apate tiba.

Sikiliza kipindi hiki kilichorushwa na jamii fm radio