Orkonerei FM

Kutana na mama anayejipatia fedha kupitia kilimo cha mbogamboga Terrat

9 July 2024, 1:58 pm

picha kwa msaada wa mtandao.

Na Evanda Barnaba.

Kwenye ipindi cha kiangazi wanajamii wa Kijiji cha Terrat huwa wanapata changamoto ya kupata mboga za majani lakini unafahamu hiyo ni Fursa pia ?

Katika Makala fupi hii Mwanahabari Evander Barnaba anazungumza na mama ambaye anajipatia fedha kupitia kilimo cha mboga mboga mbali na kuwa na changamoto ya upatikanaji wa maji ya kumwagilia lakini bado anaendelea kupambana.Karibu kuisikiliza