Recent posts
8 January 2026, 1:06 pm
Mzozo wa Imani na Mila: Askofu Mwamba Aanika Jinsi Tohara za Kienyeji Zinavyovur…
picha na Isack Dickson Na Nyangusi Olesang’ida Viongozi wa dini mkoani Arusha wameibua hofu juu ya mmomonyoko wa maadili na kupoteza sifa za kiroho kwa watumishi wa Mungu wanaojiingiza kwenye tamaduni za tohara za kienyeji ambazo zinakinzana na misingi ya…
6 January 2026, 4:04 pm
Malezi ya watoto likizo wazazi watakiwa kuwa makini
Mwaandishi na Joyce Elias Wazazi wametakiwa kuzingatia kwa karibu malezi ya watoto wao katika kipindi cha likizo ili kuwalinda dhidi ya kushuka kimasomo na mmomonyoko wa maadili. Akizungumza na Orkonerei FM kupitia kipindi cha Mchaka Mchaka Bwana Hassan Fusa amesema…
22 December 2025, 9:30 am
Kilimo cha umwagiliaji kinavyowawezesha wanawake Simanjiro
Na Isack Dickson, Katika Wilaya ya Simanjiro, mabadiliko ya tabianchi si hadithi tena, bali ni ukweli mchungu unaohatarisha usalama wa chakula, hata hivyo kundi la wanawake 111 katika vijiji 5 limeamua kubadili mwelekeo. Kupitia ushirikiano na shirika la TACCEI, wanawake…
12 December 2025, 8:16 pm
Umuhimu wa klinik ya mtoto wakati wote
picha kwa msaada wa AI Na mwandishi wetu Evanda Barnaba Kuhudhuria maadhurio ya kliniki ya mtoto ni jambo la muhimu sana kwa mzazi, kwani ni fursa ya kipekee ya kufuatilia maendeleo ya afya ya mtoto wako. Kliniki inatoa nafasi ya…
12 December 2025, 9:24 am
Mbunge wa Simanjiro (CCM) James Millya amemteua Ndg.Papaye Ole Njidai kuwa kati…
Picha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbunge wa Simanjiro, James Ole Milya Na mwandishi wetu Evanda Barnaba Naibu waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki na mbunge wa jimbo la simanjiro…
28 November 2025, 6:11 pm
Wakazi wa Simanjiro,Kiteto wapewa elimu kuweneda na mabadiliko ya tabianchi
Baadhi ya wanawake wakiwa katika mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Manyara Hall -Ilaramatak Terrat Simanjiro kuhusu kuendana na adhari za mabadiliko ya tabianchi yaliyotolewa na shirika lisilo la kiserikali la PINGOs Forum leo Novembar 28,2025 (picha Evanda Barnaba). Na Joyce…
28 November 2025, 9:14 am
Kilimo cha Umwagiliaji: Suluhisho la Ukame na Njia ya Uhakika ya Kipato
KURUNZI MAALUMU Katika hali ya ukame uliokolea na utegemezi wa mvua, hasa Manyara, Orkonerei FM inakuletea Kurunzi Maalumu inayoangazia Kilimo cha Umwagiliaji kama mkombozi mkuu. Sikiliza jinsi wakulima wa Kata ya Terrat, Simanjiro, wanavyotumia vyanzo vidogo vya maji kama korongo…
25 November 2025, 1:19 pm
Ukatili wa kijinsia bado ni changamoto
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili wa Kijinsia Duniani, wananchi wameendelea kukumbushwa umuhimu wa kulinda haki, usalama na utu wa wanawake, wanaume na watoto katika jamii Akizungumza Orkonerei fm kupita kipindi cha mchaka mchaka kwa njia ya simu Bi…
24 November 2025, 9:10 pm
Mitandao ya kijamii inavyogeuka jukwaa la kipato
Je, unatumia mitandao ya kijamii kwa burudani tu, au umetambua fursa ya soko iliyopo? Katika kipindi chetu cha KURUNZI MAALUM, tumechambua kwa kina namna ya kutumia ongezeko la watumiaji wa intaneti nchini kufanya biashara na kujiingizia kipato. Usikose: Kupata maana…
18 November 2025, 10:20 am
Umuhimu wa elimu ya jinsia kwa njia ya asili
Kurunzi maalum Elimu ya kijinsia ni mchakato wa kujifunza na kupata maarifa, stadi na mitazamo sahihi kuhusu masuala yote yanayohusu jinsia ya binadamu. Sikiliza makala hii kwa elimu zaidi. Lengo la msingi wa elimu ya jinsia ni kuwapa watu uwezo…