Orkonerei FM

Recent posts

26 August 2026, 4:03 pm

Kampeni ya polio Simanjiro: Watoto zaidi ya laki moja kufikiwa

Na Joyce Elius Zaidi ya watoto 116,125 wenye umri chini ya miaka 10 katika Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara, wanatarajiwa kufikiwa na kupatiwa chanjo ya matone ya Polio. Kampeni hiyo kabambe inalenga kukinga kundi hilo dhidi ya maambukizi ya virusi…

26 August 2026, 11:49 am

Jamii yashauriwa kutumia mifuko ya ‘kinga njaa’ kuhifadhi chakula sa…

Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro imewataka wananchi na wakulima wilayani humo kutumia njia salama na zilizothibitishwa katika kuhifadhi mazao ya chakula, hususan yale yanayotengwa kwa ajili ya matumizi ya familia, ili kuepuka madhara ya kiafya yanayoweza kusababishwa na matumizi yasiyo…

24 August 2026, 11:15 am

Simanjiro kuwafikia watoto zaidi ya laki moja chanjo ya polio

Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro inatarajia kuwafikia watoto 116,152 chini ya umri wa miaka 10 kwenye Kampeni Maalum ya Chanjo ya Polio itakayofanyika kwa awamu mbili kuanzia mwezi huu wa Agosti. Na Dorcas Charles Mkoa wa Manyara, kupitia Halmashauri ya…

20 August 2026, 1:50 pm

Manyara yajipanga chanjo ya Polio kwa watoto 675,630

Na Isack Dickson Mkoani Manyara, maandalizi yamekamilika kuelekea kampeni ya chanjo ya matone ya Polio itakayofanyika Agosti 27 hadi 30, 2026. Watoto 675,630 walio chini ya umri wa miaka 10 wanatarajiwa kufikiwa na chanjo hiyo. Wanahabari wamepewa elimu ili kusaidia…

19 June 2026, 9:13 am

Ongezeko la Vituo vya Afya Lachochea Akina Mama Kujifungulia Hospitalini

Ongezeko la vituo vya afya katika maeneo mbalimbali limeongeza upatikanaji wa huduma za afya ya uzazi kwa kuwafikishia wananchi huduma karibu zaidi. Hali hii imechangia akina mama wengi kuchagua kujifungulia hospitalini kwa urahisi na usalama zaidi. Kurunzi Maalum Uwekezaji unaoendelea…

17 June 2026, 3:17 pm

Nilikatwa mkono, sikukata tamaa–Veronica Kidemi

Na Nyangusi Ole Sang’ida Wakati mwingine maisha hubadilika kwa sekunde chache tu, sekunde zinazoweza kuacha majeraha yasiyofutika na kumbukumbu za maisha yote. Tunakuletea simulizi ya mwanamke jasiri aliyepitia tukio la kusikitisha mwaka 2020, lakini akaamua kusimama tena na kuendelea na…

9 June 2026, 1:36 pm

Wazazi wafanye nini kipindi hiki cha likizo?

Picha ikiwaonyesha baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Terrat, Picha na Joyce Elius Wazazi na walezi wametakiwa kutenga muda wa kuwasimamia watoto wao kujisomea na kuwafundisha kazi za nyumbani katika kipindi hiki cha likizo, ili kuwajenga kuwa kizazi bora…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”