Orkonerei FM

Wazazi watakiwa kuwa karibu na watoto

8 November 2021, 12:51 pm

Na Baraka Ole Maika

Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Arusha Wilayani Arumeru mkoani Arusha Selemani Msumi, amewataka wazazi kujenga mazoea ya kuwa karibu na kuzungumza na watoto wao..Aliweza kuongoza

Mheshimiwa Msumi ameyasema hayo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Kimataifa, yaliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ilboru huku Watoto wa Kike wa shule ya msingi Ilboru kitengo cha Elimu Maalum cha Viziwi, katika maadhimisho hayo wakionyesha kazi mbalimbali za mikono, wanazofanya katika shule yao ya ilboru.

Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Arumeru siku ya maadhimisho ya mtoto wa kike Kimataifa