Orkonerei FM

Unafanya nini kijana kuwa sehemu ya vyombo vya maamuzi?

8 May 2024, 11:05 am

Vijana wa Jamii ya Kimasai wakitumbuiza kwenye moja ya mikutano. (Picha na Isack Dickson)

Na Nijuze Radio Show.

Baadhi ya Vijana hawaoni umuhimu wa kushiriki kwenye vyombo vya maamuzi, na Kwa mujibu wa ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) idadi ya vijana Tanzania kwa mwaka 2022 ni 17,204,536 hii  ni sawa na asilimia 29.8 ya idadi ya watu wote nchini Tanzania

Vijana hao wanamtazamo kwamba agenda zinazojadiliwa katika mikutano mingi haziwagusi moja moja ,ili kufahamu mengi zaidi karibu kusikiliza makala hii ya Nijuze inayoangazia Unafanya nini kijana kuwa sehemu ya vyombo vya maamuzi?