vijana
28 August 2026, 6:09 pm
Babati DC yazindua chanjo ya polio
Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara imezindua rasmi zoezi la utoaji wa chanjo ya polio kwa watoto chini ya Miaka 10 zoezi balo limeanza jana katika maeneo mbalimbali ya halmashauri hiyo. Na Mzidalfa Zaid Kaimu Mkuu wa Wilaya ya…
28 August 2026, 4:25 pm
Babati mji yaongoza utoaji wa chanjo ya polio
Halmashauri ya mji wa Babati imefanikiwa kuwapa chanjo ya polio ya matone watoto zaidi ya elfu 21 kwa siku ya kwanza ya kampeni hiyo iliyoanza rasmi jana august 27 mwaka 2026. Na Marino Kawishe Akifungua rasmi zoezi la chanjo kwa…
20 August 2026, 8:01 pm
Wanahabari Manyara wajengewa uwezo chanjo matone ya polio
Wanahabari mkoani Manyara wamejengewa uelewa katika kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo ya Polio, hasa kuelekea kampeni ya utoaji wa chanjo ya matone ya Polio kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 10 ambapo wametakiwa kuielimisha jamii…
20 August 2026, 11:09
Madereva walia na ukosefu wa stendi Kibirizi Kigoma
Kata ya Kibirizi ni miongoni mwa Kata zenye mwingiliano wa watu kutokana na shughuli mbalimbali za biashara zinazofanyika katika eneo hilo. Kutokana na sababu hiyo kuna uhutaji mkubwa wa stendi kwa vyombo vya usafiri vya eneo hilo. Na LucaS Hoha…
26 June 2024, 18:20
EWURA yawaonya wauzaji holela wa mafuta
Aidha amesema kuwa , moja kati ya changamoto iliyopo ni ukosefu wa elimu kwa jamii kuhusu huduma zinazotolewa na Mamlaka hiyo. Na Mariam Kasawa.Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kati imeonya watu ambao wamekuwa…
7 December 2023, 12:49 pm
Bodaboda Ndulamo wakabidhiwa viaksi mwanga
Katika kukabiliana na ajali za barabarani vijana bodaboda wametahadharishwa kuwa makini wanapokuwa barabarani wakati wa usiku wakijitafutia kipato kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea ya kiuharifu na shafii Madereva pikipiki (bodaboda) Wilayani Makete Mkoani Njombe wameshauriwa kufuata sheria za barabarani kwa…
28 November 2023, 11:58 am
Bodaboda Ndulamo wakusanya Milioni 16 kwa mwaka
baadhi ya viongozi wa serikali ya kijiji na jeshi la polisi kwenye mkutano na waendesha bodaboda.picha na mwandishi wetu licha ya jitihada za serikali kuendelea kutoa elimu kwa vijana kuanzisha vikundi pamoja na kupata mikopo vijana wa bodaboda ndulamo kupitia…
27 November 2023, 7:10 pm
Milioni kumi na tano zamwangwa kukarabati machinjio ya Mikoroshoni
Jumla ya shilingi milioni kumi na tano zimetolewa na serikali ya awamu ya sita kwaajiri ya ujenzi wa miundombinu ya machinjio ya kisasa hapa wilayani Kyela. Na James Mwakyembe Wakati serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiendelea kuboresha miundombinu…
9 October 2023, 09:27
Vijana watakiwa kutambua umuhimu wa sekta ya kilimo
Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania AMDT Leo imewakutanisha Wadau mbalimbali kutoka sekta ya Umma, wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali na vijana katika Mdahalo wa kuibua changamoto zinazowakabili vijana ili kupata majibu sahihi. Na Mariam Kasawa. Vijana wametakiwa…
24 September 2023, 15:08
Vijana Pemba waomba ajira ujenzi uwanja wa ndege
Wananchi waliopisha ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba kuanza kulipwa fidia mara baada ya kukamilika kwa tathmini. Na Is-haka Mohammed Kamati ya muda ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoratibu masuala ya ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba imekutana…