
Recent posts

21 September 2023, 17:54
Madereva 87 Kyela wakabidhiwa vyeti vya udereva
Na James Mwakyembe Jumla ya madereva themanini na saba wapepigwa msasa wa mafunzo ya udereva na kukabidhiwa vyeti vya udereva huku wakitakiwa kuwa mabalozi wazuri wawapo barabarani. Katika kuhakikisha ajali za barabarani zinapungua mkoani Mbeya, jeshi la polisi limetoa vyeti…

21 September 2023, 13:27
Wananchi Kyela washauriwa kuachana na imani potofu zoezi la utoaji chanjo kwa wa…
Wakati zoezi la utoaji chanjo kwa watoto chini ya umri wa miaka 8 likianza hii leo wazazi na walezi wilayani Kyela wameaswa kuachana na imani potofu, bali wanatakiwa kuamini chanjo inayotolewa na watoa huduma waliowekwa na serikali. Na Secilia Mkini…

20 September 2023, 10:09
Babylon: aikacha Chadema atoa mifuko 30 ya saruji ujenzi wa ofisi ccm
Babylon Mwakyembile alie Wahi kugombe ubunge kupitia CHADEMA ameamua kuachana na chama Hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi ambapo katika ujenzi unaoendelea kwenye ofisi ya ccm kata ya Ngusa ametoa vifaa mbalimbali vya ujenzi. Na Rahm Sakabona. Aliye kuwa…

17 September 2023, 15:37
Vikoba vyawa mkombozi kwa wanawake wilayani Kyela
Vikoba wilayani Kyela vimetajwa kuwa chanzo kikuu cha kuinua uchumi kwa wanawake na kupelekea kujikwamua kiuchumi na kuwa tegemezi kwenye familia. Na Secilia Mkini Imeelezwa kuwa vikoba kwa wanawake ni njia mojawapo inayoinua uchumi kwa wanawake kwani huwasaidia katika kuendesha…

14 September 2023, 19:21
Kinanasi: Yajayo Kyela yanafurahisha
Mbunge wa Jimbo la Kyela Ally Mlagila Jumbe Kinanasi ameahidi kutekeleza mambo yote yaliyoombwa na wananchi wa kata ya Bujonde ikiwemo barabara ya kutoka Bujonde kwenda Nyerere ndani ya kata hiyo. Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi katika…

13 September 2023, 10:25
Kikao cha kamati ya tathmini chanjo ya polio chafanyika wilayani Kyela
Kamati ya tathmini ya ugonjwa wa polio imeketi na kujadili masuala mbalimbali ya maandalizi kuelekea zoezi la chanjo ya polio ikiwemo namna ya kuwafikia watoto hasa wenye umri chini ya miaka minane. Na Secilia Mkini Kikao cha mafunzo dhidi ya…

12 September 2023, 12:31
Kuvunjika kwa ndoa chatajwa kuwa chanzo cha wimbi kubwa la watoto mitaani
Uwepo wa migogoro mingi baina ya wanandoa imepelekea ndoa nyingi kuvunjika imetajwa kuwa ni sababu kubwa inayo sababisha uwepo wa watoto wa mitaani ambao wanakosa kuwa na makazi maalumu. Na mwandishi wetu james mwakyembe Kuvunjika kwa ndoa, malezi duni pamoja…

12 September 2023, 10:58
Jinsi teknolojia ya habari, inavyo weza kuinua uchumi kwenye vituo vya radio
Wandishi wa habari nyanda za juu kusini,wametakiwa kutumia Radio mtandao ili kufikisha habari kwenye jamii.na kuweza kuwafikia wadau kutoka sehemu mbalimbali nje na ndani ya Tanzania pamoja na kujipambambanua katika masoko ili kuinua uchumi kwenye vyombo vyao vya habari Na…

11 September 2023, 12:51
Wazazi wilayani Kyela wahimizwa kuwapeleka watoto kliniki
Katika jitihada za kuhakikisha watoto wanakuwa na afya bora, katibu wa watoa huduma za afya kwa watoto wilaya ya Kyela Bakari Samson amewaasa wazazi na walezi kuhakikisha watoto wanapelekwa kliniki Na Secilia Nkili Imeelezwa kuwa kutompeleka mtoto mwenye umri chini…