Orkonerei FM

Kiongozi wako anatoa nafasi kwa wanawake kufuatilia utekelezaji wa miradi ya afya?

5 April 2024, 4:40 pm

Wanakijiji wa Terrat Simajiro mkoani Manyara ( Picha na mwandishi wetu)

Kwa mujibu wa Sera ya Maendeleo ya Jinsia ya mwaka 1992 inalenga kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake katika nyanja zote za maendeleo, Sera hii inasisitiza kuwashirikisha wananwake katika kupanga, kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo katika ngazi zote. Ungana nasi katika makala hii ujifunze mengi.