Orkonerei FM

MAKALA; Kutana na Neema mwanamke aliyeshinda mila zinazomzuia mwanamke kushiriki mijadala.

25 March 2024, 3:17 pm

Bi Neema Jacob mkazi wa kijiji cha Terrat (Picha na Dorcus Charles).

“Kuna wanawake ambao wameweza kukabiliana na mila na tamaduni kandamizi na wanashiriki kwenye vyombo vya maamuzi”

Na Dorcas Charles.

Katika jamii ya kimaasai wanawake mara nyingi hawananafasi ya kutoka majumbani na kwenda kushiriki katika mikutano mikuu ya vijiji ama vitongoji amabpo ndiyo maamuzi mengi hufanyika.

Fuwatana na mwanahabari wetu Dorcas Charles ambaye amemtembelea Bi Neema Jacob mkaazi wa kijiji cha terrat kufahamu yeye amewezaje kushiriki katika mikutano mbali ya kuwa anatoka katika jamii hiyo ya kimaasai?.