Orkonerei FM
Orkonerei FM
10 October 2025, 2:37 pm

Kurunzi Maalum
Utupaji hovyo wa taka ngumu kama plastiki, chupa, matairi na vifaa vya elekroniki unazidi kuwa tatizo kubwa kwa mazingira, taka hizo huchukua muda mrefu sana kuoza, mara nyingi taka hizi huzuia mifereji ya maji, kusababisha mafuriko na kutoa harufu mbaya .
Katika kipindi maalum cha Kurunzi kinachorushwa na Orkonerei FM Radio, mwandishi Evander Barnaba amechambua kwa undani zaidi.
Sikiliza kipindi kizima cha Kurunzi ili kupata maelezo zaidi juu ya mada hii muhimu
.