Radio Tadio

Mazingira

20 March 2023, 5:05 pm

Miti Yapandwa Kituo cha Afya Kazima

KATAVI Wanawake wa kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania [KKKT ]na Wanawake wakatoliki wa Tanzania [WAWATA]jimbo la Mpanda wameeleza umuhimu wa utunzaji mazingira ikiwa ni pamoja na upandaji wa miti. Wameyasema hayo wakati wa zoezi la upandaji miti ambalo limefanywa…

22 February 2023, 6:28 pm

Sheria ya Mita 60 Bado Changamoto

MPANDA Utekelezaji wa sheria ya kutofanya shughuli za kibinaadamu ndani ya mita 60 kutoka mtoni umekuwa bado una changamoto kwa wakazi wanaoishi karibu na maeneo ya mito licha ya msisitizo kuhusu sheria hiyo. Baadhi ya wakazi wanaoishi kuzunguka mto Mpanda…

22 February 2023, 6:18 pm

Mtapenda Yaendeleza Kampeni ya Upandaji Miti

NSIMBO Katika kuunga mkono Kampeni ya serikali ya upandaji wa miti kata ya Mtapenda Halmashauri Ya Nsimbo Mkoani Katavi imeanza zoezi la upandaji wa miti katika vijiji vyake kwa lengo la kuendelea kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Wakizungumza na…

22 February 2023, 12:54 pm

Agizo,DC Iringa Upandaji wa Miti

Kulingana na jiografia ya mkoa wa Iringa kupandwa Kwa miti hiyo Kando ya barabara kutachochea utunzaji wa mazingira pia itasaidia kupunguza athari za ajali hasa katika maeneo yenye milima na maporomoko. Na Hawa Mohammed. Serikali ya Wilaya ya Iringa imeagiza…

19 February 2023, 4:13 pm

Andaeni mikakati ya usafi ili itekelezwe

Na Rifati Jumanne Katika kuhakikisha Halmashauri ya Mji wa Ifakara inarejea katika usafi wa mazingira,mashirika yasiyo ya kiserikali Wilayani Kilombero imewaomba Halmashauri ya Wilaya kuandaa mikakati maalumu ili wao waitekeleze kama ilivyo azma yao ya kusaidiana na serikali katika kila…

11 February 2023, 4:14 pm

Mikakati ya kuondokana na uchafu wa mazingira yaanza kutekelezwa-Ifakara

Na Elias Maganga Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero wameshauriwa kuunga mkono kampeni ya usafi wa mazingira inayojulikana Usafi wangu mita tano na mita tano usafi wangu,kwa kufanya hivyo watakuwa wanajikinga dhidi ya  magonjwa mbalimbali ya maambukizi.…