Radio Tadio

Mazingira

16 January 2024, 11:07

Miche 1000 kupandwa shule wilayani Rungwe

Na mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe ikishirikiana na wadau wengine (TFS &Bonde la maji ziwa Nyasa) imeungana na Watanzania wengine katika zoezi la upandaji wa miti. Zoezi hili limefanyika katika shule mpya ya sekondari Isaka iliyopo katika kata…

16 January 2024, 10:25

Mwaka wa fedha 2023/2024 Rungwe kupanda miti milioni1.5

Na mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe inatarajia kupanda miche ya miti Millioni 1.5 katika mwaka huu wa fedha 2023/24. Hii inajumuisha miche iliyopo katika kitalu cha Halmashauri kilichopo Tukuyu mjini na mingine kupitia wadau mbalimbali. Katika kitalu cha…

3 January 2024, 14:11

Kibondo na mkakati wa kuongoza kwa usafi wa mazingira kitaifa

Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma imeanzisha mkakati wa kuhakikisha usafi wa mazingira unaimarishwa ili kujiweka katika nafasi nzuri za ushindani wa usafi wa mazingira kitaifa hali itakayosaidia kuepuka magonjwa yatokanayo na uchafu ikiwemo kipindu pindu. Hayo yamebainishwa na afisa…

15 December 2023, 2:23 pm

Wananchi waaswa juu ya usafi wa mazingira

Wananchi Katavi washauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu. Na Leah Kamala – Mpanda Wananchi Maanispaa ya Mpanda mkoani Katavi  Katavi wameshauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu katika msimu huu…

11 December 2023, 16:29

Kyela:”Tunaogopa kuingia mtoni kisa mamba”

Baadhi ya wananchi wanaouzunguka mto mbaka hapa wilayani Kyela wameiomba serikali ya halmashauri ya wilaya kyela kuwavuna mamba wanaongezeka kwa kasi katika mto mbaka. Nsangatii Mwakipesile Kufuatia ongozeko la wanyama aina ya mamba ndani yam to mbaka hapa wilayani Kyela…