Radio Tadio

Mazingira

2 February 2024, 4:12 pm

Taharuki mlipuko na maporomoko ya tope Chato

Siku chache baada ya kutokea kwa maporomoko makubwa ya tope mkoani Manyara hali hiyo imejitokeza Chato mkoani Geita japo siyo kwa ukubwa. Na Mrisho Shabani Wakazi wa kitongoji cha Iloganzara kijiji cha Songambele wilayani Chato Mkoani Geita wamekumbwa na taharuki…

1 February 2024, 3:02 pm

KATAVI, Miti Milioni Kumi Kupandwa Kutunza Mazingira.

Halmashauri zote zilizopo mkoani Katavi kuhakikisha zinapanda miti milioni 2. Picha na Festo kinyogoto Na John Benjamin-katavi Halmashauri zote na mamlaka za Mistu  mkoani Katavi zimetakiwa kuhakikisha zinapanda Miti  kwa ajili ya kutunza mazingira na uoto wa AsiliHayo yamebainishwa na…

31 January 2024, 12:47

Wananchi watakiwa kuendeleza maeneo yao Kasulu

Wananchi watakiwa kuendeleza maeneo yao ili yasitumike kutupwa takataka. Na Emmanuel Kamangu. Wananchi katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuendeleza maeneo yao ya viwanja ambayo yako wazi ili kuepuka kuwa na vichaka ambavyo haviakisi dhana ya usafi…

31 January 2024, 7:36 am

Zoezi la uzoaji taka lasuasua baadhi ya maeneo Jijini Dodoma

Ni hivi karibuni Dodoma Tv iliripoti uwepo wa mkusanyiko wa taka katika maeneo mbalimbali ikiwemo eneo la Nyerere square. Na Thadei Tesha. Kuharibika kwa magari ya kuzolea taka katika maeneo mbalimbali Jijini Dodoma imetajwa kuwa miongoni mwa sababu inayochangia baadhi…

29 January 2024, 1:04 pm

Waharibifu vyanzo vya maji kukiona

Bodi ya maji Bonde la Pangani kwa kushirikiana na Jumuiya ya watumia maji mto Kware wamewataka wananchi katika kata ya Masama Magharibi wanaoharibu vyanzo vya maji kwa kukata miti kuacha mara moja na badala yake watunze vyanzo hivyo. Na Elizabeth…

18 January 2024, 12:16 pm

Wananchi Hai watakiwa kutunza mazingira

Mkuu wa wilaya ya Hai Amiri Mkalipa awataka wananchi kutunza mazingira. Na Elizabeth Mafie Wananchi   wilayani  Hai mkoani  Kilimanjaro   wametakiwa kulinda na kutunza mazingira  ili kuhifadhi vyanzo vya maji dhidi ya uharibifu na kubaki salama kwaajili ya vizazi vijavyo. Kauli…

18 January 2024, 8:44 am

Kongwa watakiwa kushiriki katika utunzaji wa mazingira

Zoezi la upandaji miti limehusisha kamati ya usalama ya Wilaya, Wakuu wa Divisheni na Vitengo, wananchi na watumishi ambapo Mhe. Mayeka alipanda mti kama ishara ya uzinduzi wa zoezi. Na Alfred Bulahya.Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Mayeka Simon Mayeka…