
Ujasiriamali

26 May 2023, 9:58 am
Baraza la madiwani Iringa lawaonya machinga wanaorejea maeneo yasiyo rasmi
Na Frank Leonard Halmashauri ya manispaa ya Iringa imesema hakuna namna wafanyabiashara ndogo (Wamachinga) walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi mjini Iringa wataachwa warudi katika maeneo hayo. Onyo hilo limetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada leo baada…

2 May 2023, 12:21 pm
Wanachama wa WAUVI waanza uzalishaji wa bidhaa
Mafunzo hayo yamekuwa yakiratibiwa na shirika la kuhudumia viwanda vidogo sido mkoa wa Dodoma. Na Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa asilimia 80 ya wanachama wa Taasisi ya wanawake na Uchumi wa Viwanda wilaya ya Dodoma Mjini WAUVI wameanza kufanya uzalishaji wa…

27 April 2023, 8:19 am
Wananchi 53 Mpanda Wanufaika na Mafunzo ya Ujasiriamali
MPANDA Jumla ya wananchi 53 manispaa ya Mpanda mkoani katavi ikiwamo wanawake pamoja na vijana wamenufaika na mafunzo ya ujasiliamali yaliyowezeshwa na Diwani wa viti maalumu kata ya majengo kupitia chama cha mapinduzi CCM lengo likiwa ni kuwapa ujuzi na…

3 April 2023, 2:15 pm
Wajasiriamali wanawake watakiwa kutengeneza bidhaa zenye ushindani wa soko
Wajasiriamali hao wametakiwa kwenda kufanyia kazi mafunzo waliyo patiwa kwa kutengeneza bidhaa bora zenye kuleta ushindani katika soko. Na Alfred Bulahya. Wajasiriamali kutoka taasisi ya wanawake na uchumi wa viwanda WAUVI waliokuwa wakipatiwa mafunzo ya utengenezaji sabuni za maji na…

28 March 2023, 2:00 pm
WAUVI yazindua mafunzo kwa wajasiriamali 500 Dodoma
Mafunzo hayo yamezinduliwa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo bi Habiba Ryengite yatakaohusisha wanawake 400. Na Alfred Bulahya Taasisi ya Wanawake na uchumi wa viwanda WAUVI imezindua mafunzo kwa wajasiriamali 500 Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwawezesha kutengeneza…

25 March 2023, 12:32 am
Wafanyabiashara Mpanda hotel walalamikia ushuru.
MPANDAWafanya biashara wa soko la Mpanda hotel manisapaa ya Mpanda Mkoani Katavi wanaouza matunda ya msimu nje ya soko, wamelalamikia ushuru wanaotozwa na kuomba kupewa ruhusa ya kuuza biadhaa nyingine ambazo sio za msimu nje ya soko. Wameyasema hayo katika…

6 October 2022, 1:34 pm
Vikundi ni Njia ya Maendeleo kwa Jamii
NA: Mary Julius na Thuwaiba Mohd : Mwakilishi wa jimbo la Paje Soud Nahodha Hassan wamewataka wakinamama kujiunga kwenye vikundi vya ujasiriamali ili kuweza kusaidiawa katika kujiletea maendeleo na kujikwamua kiuchumi. Akizungumaza mara baada ya kuzindua na kukabidhi kisima cha…

1 September 2021, 1:06 pm
Wakazi wa Jiji la Dodoma waipongeza Serikali kwa kufanya marekebisho sheria ya t…
Na;Yussuph Hans. Wakazi Mkoani Dodoma wamepongeza hatua ya Serikali kufanyia marekebisho sheria mpya ya tozo za miamala huku wakiomba serikali kuendelea kuangalia namna ya kupata fedha za kuboresha huduma za kijamii Nchini. Wakizungumza na taswira ya habari kwa nyakati tofauti…

16 July 2021, 1:43 pm
Wakazi jijini Dodoma wameiomba serikali kuangalia upya makato yanayo tozwa kwa s…
Na;Yussuph Hans. Wakazi Jijini Dodoma wamelalamikia ukubwa wa makato yanayotozwa kwa sasa katika miamala ya fedha kwa njia ya simu, huku wakiomba Serikali kuangali tena sheria hiyo upya. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wakazi hao wamesema kuwa makato…